Hivi ni kwanini hawa jamaa huwa wanakuona NDEZI kiasi hicho?
Ni yaleyale ya kutumbuiza kwenye ufunguzi wa World Cup.
Hawa WCB wanaona wabongo ni MANDEZI? Hawajui kwamba dunia ipo kiganjani? Dimondi hapa hapa bongo hata akifanya onyesho bure hawezi kujaza shamba la bibi ndio akajaze sehemu ambayo hata hawamjui?
Cha kusikitisha zaidi ni kua ipo idadi kubwa ya wajinga wanaoamini haya baada ya kuaminishwa.