Diamond Platnumz ajaza uwanja unaoingiza watu 70,000 Sierra Leone

Hivi ni kwanini hawa jamaa huwa wanakuona NDEZI kiasi hicho?
Ni yaleyale ya kutumbuiza kwenye ufunguzi wa World Cup.
Hawa WCB wanaona wabongo ni MANDEZI? Hawajui kwamba dunia ipo kiganjani? Dimondi hapa hapa bongo hata akifanya onyesho bure hawezi kujaza shamba la bibi ndio akajaze sehemu ambayo hata hawamjui?

Cha kusikitisha zaidi ni kua ipo idadi kubwa ya wajinga wanaoamini haya baada ya kuaminishwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wame elewa kwel
 
Ok kweli hata konde boy alijaza sudani.. kama ndohivyo...
 
Waandaaji wa show wenyewe wamesema,main act ktk show yao alikuwa Diamond platnumz,sasa nyie endeleeni kubisha,hamna kitakacho badilika.
Picha hii ya Drone aka za utosini,sio side view wala front view bali ni top view.

Next week Gunea Estadio LENO,main act Diamond Platnumz.
 
Tuache kaushabiki kidogo hivi kwenye list ya wasanii walioitwa kwenye hilo tamasha yupi ana ushawishi mkubwa kuliko wenzake na yupi ana jina kubwa kuliko wenzake?
Inategemea unaongelea kutoka upande upi wa Africa.

Watu wana Regimes zao unaweza ukadhani fulani ni jiwe kwa jinsi ulivyo muona huku, lakini ukienda pande zile unakuta kumbe kuna wana miamba kabisa.
Ukute waliomshirikisha hawakumuita ili awavutie mashabiki wa kule, bali walikua wana malengo ya kujenga mahusiano ili wapate platform na mwenyeji siku watakapoanza kuleta wasanii wao huku.
 
Nimeuliza swali rahisi sana, kati ya woote walioimba kwenye hilo tamasha including Jose Chameleon nani anamfikia diamond kwa umaarufu na ushawishi?

Weka kando kwanza habari za wenye concert kusema Simba ndo alikuwa main act
 
Nimeangalia show ya Nasib kwenye YouTube huko Freetown Sierra Leone, na kisha vivyo hivyo kwa Kiba huko Tabora,
Binafsi nimegundua hawa watu wawili wako level mbili tofauti.
hatarii
 
Nimeangalia show ya Nasib kwenye YouTube huko Freetown Sierra Leone, na kisha vivyo hivyo kwa Kiba huko Tabora,
Binafsi nimegundua hawa watu wawili wako level mbili tofauti.
Kwa nn mkuuu????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…