Diamond Platnumz ajaza uwanja unaoingiza watu 70,000 Sierra Leone

Haya we nyoko ulokuwa unadanganya njoo usome huku though m not sure if u will understand the lg.
 
Kwenye matamasha kunakuwa na Headline Act! Unaweza kutaja Headline Act wa ile show alikuwa nani?!
Usituambie habar za headline act mzee baada ya kuona uwongo wenu umeshtukiwa eti kajaza watu elfu 70 stupid tena ni babu tale kweny insta yake.
 
Hakuna festival ya mtu mmoja. Ila kutusua kwa festival kunategemea main act wanao pafom
 
Usituambie habar za headline act mzee baada ya kuona uwongo wenu umeshtukiwa eti kajaza watu elfu 70 stupid tena ni babu tale kweny insta yake.
Kwa hiyo we playboy mzee umeshaona festival ya mtu mmoja?
 
Kwa hiyo show ilikuwa ya diamond afu kawaalika akina patoranking wamsaidie au vp? Punguza mahaba nyau we
 
Kwa hiyo show ilikuwa ya diamond afu kawaalika akina patoranking wamsaidie au vp? Punguza mahaba nyau we
Patoranking hakuwepo mwaka huu. Hizo copi and paste za miaka iliopita. Hii festival ya tatu
 
Kwa hiyo we playboy mzee umeshaona festival ya mtu mmoja?
No,shida walitaka kutuaminisha kwamba ni show ya diamond, unaposema diamond kajaza watu 70k manake nn? Why usiseme ECO FESTIVAL imejaza watu 70k this year? Kwann after WASAFI FESTIVAL hatusemi WIZKID kajaza watu 24k tunasema WASAFI FESTIVAL imeingiza watu 24k this yr?..TUACHE KUPEANA UTUKUFU WA UWONGO AYSEE TUPENDE KWA KIASI.
 
Main act anakuwaga wa mwisho ku perform na ndio anaebeba show. Kama ikifeli lawama lazima ziende kwa main act. Hakuna festival ya mtu mmoja
 
Hakuna festival ya mtu mmoja. Ila kutusua kwa festival kunategemea main act wanao pafom

Uko correct kama yeye ndiye aliyekuwa main actor wa festival hiyo; lakini tangazo hilo hapo chini halionyeshi nani main actor wa festival hiyo ndiyo maana nikaweka comment hiyo uliyokwoti.

Na main act analipwa zaidi anachukua mtonyo mkubwa zaidi ya hao wengin
 
Main act anakuwaga wa mwisho ku perform na ndio anaebeba show. Kama ikifeli lawama lazima ziende kwa main act. Hakuna festival ya mtu mmoja
Kaka unataka kuniaminisha uwanja ulijaa coz diamond was a main act? Tuanzie hapo.
 
Hakuna festival ya mtu mmoja. Kwa hiyo sidhani kama ni vibaya main act akajisifia mafanikio ya festival. Sababu ingebuma yeye angeondoka na aibu kubwa ZAIDI!!!!!
Tunkataa sisi anapoandka kwenye mitandao yke ya kjamii kuwa kajaza uwnja watu elfu70 tket zmekua sold out,hapo sisi ndo tunpokataa,tumeona wote chameleon nae aliperform watu wapo nyomi kuzd lakn mbn hjaleta maneno ya khanga km huyo ndg yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…