Diamond Platnumz ajaza uwanja unaoingiza watu 70,000 Sierra Leone

Hakuna cha misinformation hapo! Kilichopo ni kwamba, wakati wengine ni HATERS, wengine wanaonesha wazi hawana uelewa na masuala ya matamasha! Mara nyingi kama sio zote, tamasha lolote kubwa linalokutanisha wasanii wengi LAZIMA liwe na Headline Act!! Headline/Lead Act wa Ecofest 2019 ni Diamond Platnumz! Do your own research hata hapa JF watu wakuelekeze ufahamu wao kuhusu hao wasanii wengine walioshiriki ukimuondoa Chameleon kama wanawafahamu! Tay Grin, ni wa Malawi tu hapo, nchi jirani! Ni watu wangapi wanamfahamu Tay Grin ambae hata Instagram Following yake hajafikisha hata 100K Followers. Na ukimtoa Diamond, sidhani kama msanii yeyote miongoni mwao aliye na following ya kufikisha hata 2M. Na kwenye habai uliyoiweka hapa, imemtaja Abu Bakarr Turay wa KME anayeandaa hilo tamasha! Ingia kwenye personal Instagram Page na jiulize kwanini ka-post Interview ya Diamond na si ya mwingine yeyote?! Kwenye hiyo Interview Diamond yupo na Rozzy Sokota ambae ni local artist, na sijui wangapi wanamfahamu manake hata followingi yake Instagram haijafika hata 20K!!!

So, ni kweli tamasha limeshirikisha wasanii wengi lakini Diamond ndie Headline Act na ndio maana kapewa attention kubwa tangia siku anaingia! Concerts ni kama pambano la ndondi ambako na kwenyewe kunakuwa na Supporting/Opening Acts/Boxers) wanaofungua show na show husika kumaliziwa na Headline Acts/Boxers!!
 
Chame
Tunkataa sisi anapoandka kwenye mitandao yke ya kjamii kuwa kajaza uwnja watu elfu70 tket zmekua sold out,hapo sisi ndo tunpokataa,tumeona wote chameleon nae aliperform watu wapo nyomi kuzd lakn mbn hjaleta maneno ya khanga km huyo ndg yenu?
Chameleone alikua msindikizaji. Hana hit song yoyote inayojulikana Afrika si kwa mwaka huu tu hata miaka michache iliopita
 
Upo sawa kabisa bro. Shida yao wanashindwa ku iudge mafanikio ya festival na ya show ya mtu mmoja
 
Tunkataa sisi anapoandka kwenye mitandao yke ya kjamii kuwa kajaza uwnja watu elfu70 tket zmekua sold out,hapo sisi ndo tunpokataa,tumeona wote chameleon nae aliperform watu wapo nyomi kuzd lakn mbn hjaleta maneno ya khanga km huyo ndg yenu?
Kwanini Cameleone ataje wakati anafahamu hakuwa Headline Act?! Kwanini usijiulize ni kwanini Abu Bakarr Turay ambae ndie mwaandaaji wa concert ka-post picha akiwa na Diamond na sio na Chameleon? Kwanini usijiulize kwanini huyo huyo Abou ame-post Radio Interview ya Diamond na sio mwingine yeyote including huyo Chameleon?
 
N
Tunkataa sisi anapoandka kwenye mitandao yke ya kjamii kuwa kajaza uwnja watu elfu70 tket zmekua sold out,hapo sisi ndo tunpokataa,tumeona wote chameleon nae aliperform watu wapo nyomi kuzd lakn mbn hjaleta maneno ya khanga km huyo ndg yenu?
Nitajie hitsong ya chameleone ambayo pale Freetown inabamba...
 
Tunkataa sisi anapoandka kwenye mitandao yke ya kjamii kuwa kajaza uwnja watu elfu70 tket zmekua sold out,hapo sisi ndo tunpokataa,tumeona wote chameleon nae aliperform watu wapo nyomi kuzd lakn mbn hjaleta maneno ya khanga km huyo ndg yenu?
Kwani Diamond alileta maneno ya Khanga wapi,tatizo mnajishtukia mbona Madagascar kulikuwa na Nyomi Zaidi ya hilo.

Tatizo lenu Mondi hamumpendi alafu lengo lenu mnategemea haanguke,lkn kila siku iendayo kwa Mungu dogo anazidi toboa,mpaka mwaka unaisha atakuwa kishapiga show karibia 90% ya bara lote la Africa ukizitoa nchi za kiaarabu.Ukiendelea kumfuatilia atazidi kukukera.

Dua la kuku halimpati mwewe na kama umeamua kumfungia mtu vioo basi acha kumfuatilia kwani mwisho wa siku atakuumiza tu.
 
Mnaamini sana kwenye instagram hiyo siyo source ya kutufanya tuamini au tukubali unachotaka tukubali RONALDO ANA FOLLOWERS WENGI INSTA BT BALLON D OR JANA KACHUKUA MESSI apart from that nambie Mzee wa bwax ana followers wangap insta au Juma nature je output yake akiwa jukwaan ipoje? Huyo local artist sisi hatuna haja ya kumjua walomuita ndo wanajua ana nguvu gani kweny muziki wao kwani hadi sisi tumjue ndo awe mkali? Acheni porojo Kubalini show haikuwa ya DIAMOND PEKEYAKE kama ambavyo mlitaka tuamini na yy kuwa main act siyo kwamba ndo kafanyawatu 70k waingie kila mtu ana favourite wake alomfanya afike uwanjani km hivyo wangemuita diamond pekeyake basi ili ajaze 70k hahahahaaaaa.. He is giant in african music bt not to that extent aysee MTUACHE KIDOGO.
 
Kabisa bro......halaf ingekua wizkid ka pafom halaf timu take iseme hayo mambo wabongo wangeunga mkono na kuanza kujiuliza "hivi sisi tunafeli wapi"? Sasa mwanazengo mwenzao anajisifia kwa success wao hawataki!!! Mondi ni big Ego yule atazidi kuwaumiza roho tu...
 
Usituambie habar za headline act mzee baada ya kuona uwongo wenu umeshtukiwa eti kajaza watu elfu 70 stupid tena ni babu tale kweny insta yake.
Unaonekana unasumbuliwa ama na chuki tu au inaelekea hauna uelewa wowote wa mambo ya burudani vinginevyo usinge-ignore suala la Headline Act!!! Ndo maana nimewauliza hapa; ni kwanini Mwandaaji awe ame-post radio Interview ya Diamond na sio ya msanii mwingine yeyote yule?! Hivi hata lile pambalo la Hasan Mwakinyo na Mfilipino juzi kwani walipanda ulingoni peke yao hadi ionekane ni lilikuwa ni pambano la Mwakinyo na Mfilipino?!
 
Hapo ndipo mnapofeli! Post niliyoandika kabla ya kusoma post yako hii nimeandika "...inaelekea ama una chuki au hauna uelewa na masuala ya burudani!" Kwa post yako hii inaonesha wazi kwamba una uelewa mdogo sana tena sana kuhusu tasinia ya burudani manake kama hufahamu role ya social media kwenye modern entertainment industry, then you have a very very long way to go kuifahamu tasnia ya burudani!!

Halafu angalia unavyotoa mifano irrelevant! Kwani kwenye ile Confest kulikuwa na utolewaji wa tuzo hadi ulete mfano wa Messi vs Ronaldo?! Tuzo uliyotaja inahusu Mchezaji Bora kwa msimu husika, huku watu wakipima uwezo wa wachezaji uwanjani! Kwani ile Ecofest inapima ubora wa wasanii?!

Ecofest ni biashara, na biashara ya muziki hawaangalii uwezo wa mtu kwenye kuimba bali uwezo wa mtu kwenye kuuza tiketi! Na ndio maana hata kwenye endorsement, hawaangalii unaimba vizuri namna gani bali wanaangalia ushawishi wako kwenye tasnia, ushawishi unaoweza kugeuka into business!!

Kama unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hivi, KATU hutaweza kuelewa kinachoendelea! Na kwa kuchukulia mfano wa hao hao akina Messi na Ronaldo; ni nani kati yao yupo endorsed na kampuni za biashara kulinganisha na mwingine??!!

Halafu achana na cheap argument kwamba "haikuwa ya peke yake kama mlivyotaka tuamini" kila mwenye akili timamu anafahamu maana ya Concert! Kwanini mtu atake kuwaaminisha ilikuwa ni show ya peke yake wakati kila mtu anajua kwamba ni Concert?!
 
Nyie ishu ya #UNFORGETABLE TOUR imewchanganya MWEWE YUPO TABORA HUKO ANAWAFANYA HADI MDANGANYE WATU.
 
Nyie ishu ya #UNFORGETABLE TOUR imewchanganya MWEWE YUPO TABORA HUKO ANAWAFANYA HADI MDANGANYE WATU.
Hiyo tour imekuchanganya ww,lkn haijawachanganya WCB.Acha kumfuatilia Mondi utazidi kuumia wewe hangaika na huyo mtu wako.

Ktk hiyo tour UKIPOST PICHA ILIYOPIGWA kwa DRONE au TOP side view mimi najitoa JAMII FORUM.
 
Wanazengo mjifunze kujiweka kifua mbele na kujiamini. Msione kwamba hamuwezi kufanya mambo makubwa. Na mwenzenu akifanya kubwa mu appreciate na kuona inawezekana.
 

Umeandika mambo mengi kwa pressure bure tu kwani kuna mtu aliandika point hiyo hiyo unaysema huko nyuma kwa misitali michache sana nikamuelewa na kumjibu kwa nini niliweka post hiyo. Jambo moja fahamau kuwa idadi ya followers wengi instagram au Youtube au Twitter ni added advantage lakinii siyo kipimo cha ubora wa mhusika katika tasnia yake. .
 
Mkishashikwa pabaya mnakimbilia kwenye UELEWA hivi mashabiki wa DIAMOND ndo MNAELEWA SANA MUZIKI SIKU ZOTE yani nyie ndo waeleeeeeeeeeewa wenyewe au vipi? Acheni ujinga huo mnapoambiwa ukweli muwe mnakubalii siyo mnajambajamba kwenye matope afu mnakimbilia kwenye chuki na uelewa stupid hakuna wakumdanganya hapa show haikuwa yake na si yeye alofanya 70k waingie kila mtu na favourite wake alomfanya aende nae anawake waloenda kumuona bt siyo wote.
 
Nyie ishu ya #UNFORGETABLE TOUR imewchanganya MWEWE YUPO TABORA HUKO ANAWAFANYA HADI MDANGANYE WATU.
Kumbeeeee!!! Nimesoma mara mbili mbili post ya joseph1989 uliyoleta habari za Ali Kiba kuangalia yeye Joseph aliongea nini kuhusu Kiba! Pamoja na kusoma mara mbili mbili, sijaona alipomtaja Ali Kiba!! Kumbe wewe ni shabiki wa Kiba!!!! Kwaheri bhana manake nilishaacha kubishana na mashabiki wa Kiba, na sababu nyingine iliyonifanya niache kubishana na mashabiki wa Kiba; ndo hii! Yaani watu wanazungumzia International Tour kuna wengine mnazungumzia mashabiki wa Tabora?! Serious?!

KWAHERI MZEE!!!
 
Wadanganyeni wapumbavu wenzenu . hiyo ni star laden events. Mastaa toka inchi kuntu za Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…