Hakuna cha misinformation hapo! Kilichopo ni kwamba, wakati wengine ni HATERS, wengine wanaonesha wazi hawana uelewa na masuala ya matamasha! Mara nyingi kama sio zote, tamasha lolote kubwa linalokutanisha wasanii wengi LAZIMA liwe na Headline Act!! Headline/Lead Act wa Ecofest 2019 ni Diamond Platnumz! Do your own research hata hapa JF watu wakuelekeze ufahamu wao kuhusu hao wasanii wengine walioshiriki ukimuondoa Chameleon kama wanawafahamu! Tay Grin, ni wa Malawi tu hapo, nchi jirani! Ni watu wangapi wanamfahamu Tay Grin ambae hata Instagram Following yake hajafikisha hata 100K Followers. Na ukimtoa Diamond, sidhani kama msanii yeyote miongoni mwao aliye na following ya kufikisha hata 2M. Na kwenye habai uliyoiweka hapa, imemtaja Abu Bakarr Turay wa KME anayeandaa hilo tamasha! Ingia kwenye personal Instagram Page na jiulize kwanini ka-post Interview ya Diamond na si ya mwingine yeyote?! Kwenye hiyo Interview Diamond yupo na Rozzy Sokota ambae ni local artist, na sijui wangapi wanamfahamu manake hata followingi yake Instagram haijafika hata 20K!!!Misinfomation ni jambo baya sana kwa jamii kwani hudumaza jamii husika. Nimesoma hiyo liki uliyoweka, nikaona kweli kuna misinformation kubwa sana kwenye tukio hili kwa upande wa Tanzania kwani hiyo haikuwa show ya mtu mmoja kama nilivyokuwa hata mimi naamini bali ililkuwa ni tamasha lililohusisha wasanii wengi wa kutoka mataifa kumi ya Afrika. Tunataka Tanzania ing'ae lakini tusiwe tunaeneza habari zisizokuwa za kweli ili kuisifia Tanzania na watu wake.
So, ni kweli tamasha limeshirikisha wasanii wengi lakini Diamond ndie Headline Act na ndio maana kapewa attention kubwa tangia siku anaingia! Concerts ni kama pambano la ndondi ambako na kwenyewe kunakuwa na Supporting/Opening Acts/Boxers) wanaofungua show na show husika kumaliziwa na Headline Acts/Boxers!!