Diamond Platnumz ajaza uwanja unaoingiza watu 70,000 Sierra Leone

Hiyo tour imekuchanganya ww,lkn haijawachanganya WCB.Acha kumfuatilia Mondi utazidi kuumia wewe hangaika na huyo mtu wako.

Ktk hiyo tour UKIPOST PICHA ILIYOPIGWA kwa DRONE au TOP side view mimi najitoa JAMII FORUM.
Ukijitoa JF ndo nani ataathirika kwa mfano? Unajiona so special we KIMA.
 
Eti nimeandika mengi kwa pressure bure!! Na wewe uliyeenda hadi Google kutafuta article ya ku-support hoja yako na kutuletea gazeti reeeeeeeeefu wakati watu washaleta hilo gazeti, nawe uliandika kwa pressure, au?!

Btw, kwani ile concert ilikuwa ni ya kupima ubora wa msanii au kuna mahali niliposema Diamond ndie msaanii bora kuliko wengine?! Nimekupa issue ya social media kwa sababu huko ndiko entertainment industry ina-trend!! Tasnia ya burudani inaangalia nani anaweza kuuza lakini sio nani anaweza kuimba sana kuliko wenzake!!! Na ni kutokana na hilo, ndo maana hata Tanzania wakati inaaminika Kiba ni msanii mzuri kuliko Diamond lakini ni Diamond ndie mwenye endorsement lukuki na sio huyo Kiba!!! Na moja ya vitu ambavyo watu wanaangalia ni social media engagement and following!

Post yangu imekuwa ndefu kwa sababu nilikuwa nafafanua mambo mbalimbali ambayo wengi wenu mnafeli kwa kutofahmu ndoa iliyopo kati ya burudani na social media!!
 
Wasafi festival nani alkua main act?wewe unayeuliza nkutajie hitsong ya chameleon inyobamba sierra leone hv unafikir kw kutumia nn?mm nipo dar unaniuliza hzo mambo kwel??!alafu nipo mjin hpa hpa bt ukniuliza ngoma gn ya alkba inabmba swez kkujib coz kla mtu na choice yke,ungejiuliza tu shangwe alilopata chameleon adi akaandk maneno machche ya kuwa seeing is believing je km sierra leon hakuna hitsongs zke pale mbn walimpa shngwe sana??
 
@joseph1989,Nenda kweny insta page ya alikiba kakuwekea adi vdeo za drones zlzochkua vdeo kw juu afu urud hapa.
 
Ukijitoa JF ndo nani ataathirika kwa mfano? Unajiona so special we KIMA.
Mbona unazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma.

Simple WEKA picha tuone TOP VIEW au picha za utosini au picha za DRONE alafu huone hayo mapengo.
 
ECOFEST SIERRA LEONE 2019...USING ENTERTAINMENT SELL SIERRA LEONE TO THE WORLD AND TO ENHANCE AFRICAN UNITY.


What clearly was a major break in Sierra Leone and West African Entertainment commenced just over a year ago. The greatest entertainment platform ever created in Sierra Leone started at last year’s ECOFEST hosting seven West African Nations. Superstars like Patoranking from Nigerian, Kuami Eugene from Ghana, Takana Zion from Guinea and CIC from Liberia to name but a few, were part of a star studded line up for what was a massive event and an almost perfect showdown. This year has promised even bigger and greater things and by all standards it has a momentum that’s bound to attract the whole of the African continents attention. Issues like sound system that were a national have now been fully sorted by KME’s ECOFEST SIERRA LEONE 2019 partners, CRIBS INTERNATIONAL.

ECOFEST SIERRA LEONE 2019 will be having Ten (10) Nations represented at one arena in Freetown. They include, Nigeria, Ghana, Guinea, Senegal, Gambia, Liberia, The Host Nation Sierra Leone (from the West African front), Tanzania, Uganda (From East Africa) and (Malawi) from Southern African front. What better way to unify Africa at a time when everyone is talking about the xenophobic attacks meted out by South Africans to other African nationalities? Sierra Leone takes a bolder step in welcoming our African brothers and sisters to a platform that will soon be not only a international phenomenon, but an African legacy.

Multiple award winning Record Label and hitmakers, Kabaka Multimedia and Entertainment (KME) who are lead organizers have informed this media that this will be an unforgettable night of entertainment come November 30th at the National Stadium. The CEO of KME, Lawyer Abu Bakarr Turay, popularly known as The Kabaka has intimated us that the initiative was to shed light on our stars back home. To have a platform that will be enviable to other African nations and that will welcome both acts that have β€œarrived” in their career as we have in Diamond Platnumz, Basket Mouth, Jose Chameleone etc..and those who are β€œon their way” like the many powerful Sierra Leonean musicians, comedians and other entertainment acts. β€œIf they cannot invite us to the big stages that we have envied for decades, we have created one that is attractable enough to have them come here and see what we are also made of and then they will be emissaries for us, to take the good news back to the rest of Africa and beyond..”, CEO KABAKA stated.

On those who stand to benefit back home locally, Kabaka wasted no time in explaining that apart from the fact that his Record Label grooms 100% Sierra Leonean talents and currently have about 8 musicians, and four dancers, there will be six of the nation’s best comedians in this year’s ECOFEST, namely Kindo Armani, Faculty, Richie Obama, Oga Worwor, Yemata and legendary Desmond Benya. There will also be ten Sierra Leonean musicians on stage as main acts such as, Innocent, Morris, Star Zee, Arkman, Camouflage and King Boss LA to name a few (these don’t include the 8 KME artistes). There will be atleast ten local β€œguest acts” on the night. Also we will have Sierra Leonean DJs who will give us a β€œparty time” hour. From the number of acts, it is clear that 70% of acts who will grace the stage on that night will be Sierra Leoneans, but the African continent will be well represented and they will enjoy Sierra Leonean hospitality as never before. The whole of Africa knows our hospitality is second to none.

On time management, there will be Basket Mouth as main host for the show who will be assisted by two co-hosts. Last year there were eight MCs. Drastically reducing that number and bringing someone who wouldn’t yield to pressure from some artistes to over stay their time on stage is key. Also starting as early as 6PM means we will have six hours of a great show even before midnight. In total we are hoping to give our fans 9-10 hours of nonstop and breathtaking entertainment, The Kabaka furthered.

This year’s ECOFEST is organized by KME in collaboration with EMPIRE ENTERTAINMENT GHANA and CRIBS INTERNATIONAL. Supported by Africell, AfriRadio, AYV, 98.1FM, NEWSWATCH MAGAZINE AND NEWSPAPER and many more. It will be a night of music, comedy, dance and cultural entertainment. Be there on Saturday 30TH NOVEMBER at the National Stadium.
 
Usituambie habar za headline act mzee baada ya kuona uwongo wenu umeshtukiwa eti kajaza watu elfu 70 stupid tena ni babu tale kweny insta yake.
Nilikua mstari wa mbele kumpongeza Diamond ila tangu ukweli ulipo reveal nimeona jamaa anajipa mashavu ya kinafki
 
4by94,
Usikurupuke wewe ushaambiwa hiyo shoo si ya dimondi ilikuwa show ya wanamuziki kibao,mnakuja kudanganya kwamba dimondi kajaza uwanja watu elfu 70 as if yeye ndio aliyeandaa show!!!! Naongelea muktadha wa mada na sidiscuss mtu hapa,nazungumzia si kweli kwamba dimondi alijaza watu elfu 70 huko,huyo dimondi 100% akiandaa show bure uwanja wa taifa hawezi kujaza watu elfu 70!!!
 
Ali Kiba ashaimba na R. Kelly kwahiyo Diamond hawezi kufikia level hizo, acheni kujidanganya. Diamond ashindane Timbulo au Beka Flavour sio Ali Kiba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Waliokuwa na uwezo huo Afrika hii ni P Square . Hao ndio walikuwa na uwezo wa kupiga show yao wenyewe nchi yoyote na wakajaza. Hawa vijana wa sasa wanapiga mabonanza yenye wasanii wengi.
 

We umeuliza main act nimekujibu swali lako - main act kwenye Wasafi Festival alikua Wizkid.

Sasa kuhusu nani kaleta watu nikupe mfano tu - Mondi akiwa main act kwenye nchi yenye staa wa kimataifa na wakapafom pamoja basi credit lazima vile vile iendende kwa wale local international acts. Sierra Leone hawana stars mkubwa kiasi hicho....

Ni kama mfano aliotoa mkuu hapo juu...kama main fight inatanguliwa na undercard fights za mabondia wenye hadhi kubwa na wao vile vile wana deserve credit. Sierra Leone msanii mkubwa kwenye hii fest alikuwa Mondi. Wakati kwenye Wasafi fest alikuwepo Wizkid, Mondi na Tiwa Savage.

Kumbukeni Wizkid na Mondi wametajwa kwenye list ya CNN top artists in Africa!!!!!!!! Kumbukeni na hii vile vile wakati mkiendelea ku- hate!!
 
Diamond ndiye top artist kwenye muziki wa vijana kwa sasa ilawapambe wamezidi kutia chumvi mafanikio yake yaani Kama wapambe wa jpm wanavyomtukuza
 
Kwani hizo video zimekuwa posted na nani kama si Diamond mwenyewe kutuonesha anakubalika huko?@myplusbee,
 
Nina uhakika kwenu hakuna anayeniweza kwenye hesabu na hisabati
Sasa ww una bishana mpaka na GOOGLE inayo calculate thamani ya pesa.

Unashindwa kutofautisha Gunea Franc na XOF,bahati nzuri sisi kwetu tunaongozwa na REFERENCE na TAFITI.
 
Chuki zinashusha heshima mkuu inamaana unataka kusema Mond hajawai Fanya show Uganda? tuanzie hapo kwanza
😝😝😝😝 mkuu naona umeghafirika huyo alimsema Dk Shika eti mikoani huwa anasepa na kijiji ndio nikamjibu aende mutukula tu hapo aone kama atawapata wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…