hivi jinga kiba yupo wapi mzee wa kiuno viuno
Mkuu tunajiandaa kwenda kumpokea Alhamisi na tuzo zetu 5
LAZIMA WANYOOKE
TUKUTANE AIRPORT
Haya mkuuu
Mpokeeni ndugu mr icon...
Hivi kibakuli yupo bize tuu na kampeni kama yamoto band, wenzake wanafanya mambo
Hahahahaha mkuu labda tuwaulize ndugu zetu hawa pwilo cute b
Ila najuwa jana alikuwa Lindi na magufuli haahahahahahaha Magufuli alijuwaje kunifurahisha akaanza kummwagia sifa KING OF AFROPOP kuhusu kubeba Tatu dwangala hahahaha mbele ya king zamunda atakuwa alimind kinoma eti pwilo jamaa yenu jana hakuwa mchungh sana? Watu lilivyotajwa jina la diamond platnumz shangwe la kutoshaaaaaaa
http:myoosho.com/tatubila/afrimma
Ha ha ha ha ha ah
Hata kwenye Tuzo kuna tuzo za Kata pia.Alishinda kama msanii anaependwa zaidi Africa na nyimbo inayopendwa zaidi africa ya NANA kwa mwaka 2015.
Kijana sasa atarejea nyumbani na tuzo 5 kutoka Marekani. Nahakika mwaka huu hatausahau kwa kuvuna tuzo nyingi za kimataifa.
Hata kwenye Tuzo kuna tuzo za Kata pia.
Hata kwenye Tuzo kuna tuzo za Kata pia.