Diamond Platnumz akabidhiwa tuzo 2 za African NAFCA kutoka Hollywood America

Diamond Platnumz akabidhiwa tuzo 2 za African NAFCA kutoka Hollywood America

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Alishinda kama msanii anaependwa zaidi Africa na nyimbo inayopendwa zaidi africa ya NANA kwa mwaka 2015.
Kijana sasa atarejea nyumbani na tuzo 5 kutoka Marekani. Nahakika mwaka huu hatausahau kwa kuvuna tuzo nyingi za kimataifa.
 
Attachments

  • diamond.jpg
    diamond.jpg
    12.2 KB · Views: 754
hivi jinga kiba yupo wapi mzee wa kiuno viuno
 
Mkuu tunajiandaa kwenda kumpokea Alhamisi na tuzo zetu 5

LAZIMA WANYOOKE

TUKUTANE AIRPORT
 
hivi jinga kiba yupo wapi mzee wa kiuno viuno

Hahahaha jana alikuwepo lindi kumnadi magufuli, hahaha nilicheka sana MAGUFULI ALIVOANZA KUMMWAGIA SIFA DIAMOND WAKATI WA SERA KUHUSU KUBEBA TUZO TATUUUUUUU MBELE YA ZAMUNDA hahahahahaha jamaa alitamani apasuke aingie chini ya ardhi maana kila anakoenda ni DIAMOND PLATNUMZ

Kanyooka!!!!!!
 
woyoooooooooooooooo let's go airport,our awards coming soon with dmond platnumz.
 
Mkuu tunajiandaa kwenda kumpokea Alhamisi na tuzo zetu 5

LAZIMA WANYOOKE

TUKUTANE AIRPORT

Haya mkuuu
Mpokeeni ndugu mr icon...

Hivi kibakuli yupo bize tuu na kampeni kama yamoto band, wenzake wanafanya mambo
 
Anastahili ni haki yake, kazi zake zinaonekana wazi.!
 
Haya mkuuu
Mpokeeni ndugu mr icon...

Hivi kibakuli yupo bize tuu na kampeni kama yamoto band, wenzake wanafanya mambo

Hahahahaha mkuu labda tuwaulize ndugu zetu hawa pwilo cute b

Ila najuwa jana alikuwa Lindi na magufuli haahahahahahaha Magufuli alijuwaje kunifurahisha akaanza kummwagia sifa KING OF AFROPOP kuhusu kubeba Tatu dwangala hahahaha mbele ya king zamunda atakuwa alimind kinoma eti pwilo jamaa yenu jana hakuwa mchungh sana? Watu lilivyotajwa jina la diamond platnumz shangwe la kutoshaaaaaaa

http:myoosho.com/tatubila/afrimma

Ha ha ha ha ha ah
 
Last edited by a moderator:
Hakyanani hata kama ni minyoosho hii sasa too much.
 
Hahahahaha mkuu labda tuwaulize ndugu zetu hawa pwilo cute b

Ila najuwa jana alikuwa Lindi na magufuli haahahahahahaha Magufuli alijuwaje kunifurahisha akaanza kummwagia sifa KING OF AFROPOP kuhusu kubeba Tatu dwangala hahahaha mbele ya king zamunda atakuwa alimind kinoma eti pwilo jamaa yenu jana hakuwa mchungh sana? Watu lilivyotajwa jina la diamond platnumz shangwe la kutoshaaaaaaa

http:myoosho.com/tatubila/afrimma

Ha ha ha ha ha ah

Teh teh mwache balozi wetu wa tembo
 
Last edited by a moderator:
Alishinda kama msanii anaependwa zaidi Africa na nyimbo inayopendwa zaidi africa ya NANA kwa mwaka 2015.
Kijana sasa atarejea nyumbani na tuzo 5 kutoka Marekani. Nahakika mwaka huu hatausahau kwa kuvuna tuzo nyingi za kimataifa.
Hata kwenye Tuzo kuna tuzo za Kata pia.
 
where is ali kiba???nazan alikiba anatakiwa atafute saizi yake kwa sasa-binafsi napenda mziki mzuri regardless nani kaimba,alikiba kwa sasa hawezi weka ligi na diamond,bora ajipange afanye yake tuone atafika wapi,ila si sahihi kuwalinganisha maana hawapo level moja
 
Back
Top Bottom