Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 372
Wimbo wa kuhamasisha kilimo cha cocoahuo ni wimbo gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wimbo wa kuhamasisha kilimo cha cocoahuo ni wimbo gani
View attachment 148219View attachment 148220View attachment 148221Kwa sasa diamond akienda Nigeria,
hachukuliwi kama mtu tu
asiyefahamika,ni star mpya nchin nigeria,baada ya kuwasili
Lagos media nying baada ya kufahm ujio wake walimtafuta
kwa ajili ya kumfanyia mahojiano,na moja ya media,ni kituo
cha redio cha BEAT_FM ambacho ni
kituo kikubwa Nigeria,Diamond amekuja kufanya shooting ya ,wimbo
wake mpya,na kufanya collabo zingine na wasanii wa
Nigeria akiwemo Iyanya...kwa updates na info zaidi
Tembelea THIS IS DIAMOND PLATNUMZ ,ama instagram page ya
diamond(@diamondplatnumz) ama page yangu ya InstA.. @ kifesi
JF ni burudani sana aseee acha niamini kua Diamond ni msanii star Nigeria ila si juzi juzi hapa wale mapacha walisema hawamjui inakuaje ma-star wenyeji wasimjue,uyu Diamond ana safari ndefu na atafika tu ila sio kumvimbisha kichwa yatakuja kutokea ya Mr Nice mapema jamani acheni apige harakati za kusaka collabo kwanza ili atuwakirishe vizuri sio hizi za kutuambia eti anapokewa kama star....wishin' all the best kwa Platnumz ndio bendera yetu kwa sasa.
chezeiya umaarufu weye!hahahhalafu kapiga picha kwa toilet kabisa duuhh.
Sanaa na Wasanii ndani ya jumba la sanaa...hii ndio bongo
Diamond anahitaji mtu wa kumletea habari JF ili huyu jamaa abaki kua mpiga picha tu otherwise atajiumiza taratibu huyu hawezi kuleta mada kwenye mtazamo chanya anaamini watu wote hatujui nini kinaendelea kwenye huu ulimwengu ila ki-ukweli jamaa kwenye picha yuko vizuri sana na anatekeleza jukumu lake vizuri tatizo kwenye kuleta habari ni aibu.
Wimbo wa kuhamasisha kilimo cha cocoa
Close to the perfect answer!
Some slight correction,sio kilimo cha cocoa..ni kilimo kiujumla!
Hiyo radio "the beat.fm" ni part of their media team na kila msanii wa hiyo project lazima akahojiwe pale maana wanakutana Nigeria for the.video,wako wasanii 19
Tanzania wawakilishi ni wawili,AY na Diamond!
Ukiingia kwenye site yao kuna details zote one.org
Unasign petition yao then wanakupa access ya kudownload huo wimbo "cocoa and chocolate"
Samahani JF app ime-crash kwenye simu yangu ivyo nimeshindwa kukupa like ila chukua hii LIKE naomba huyu heaven on desert aje hapa atoe ufafanuzi ili ajue watu wanaulewa wa kutosha nashukuru kwa maelezo yako.
Umeniforce kuzungumza hata nisivyopaswa kuzungmza,ok iko hivi..ni swala la majukumu kumbuka mi si photographer tu,but ni blogger,taking pics na kuwajulisha watu thru our social networks,pia ni graphics designer,so nina majukumu mengi some time nabaki kuendelea na majukumu mengine huku,kumbuka kaongozana na baadhi ya watu ambao pale inapihitajika they can take pics,natumiwa mm kufanya the rest........ anyway nimejieleza kwa kadri mtu mwelewa anaweza kuelewa vizuri..na tatizo lenu hapa nimegundua furaha yenu mnapenda msikie sipo hapa nilipo kama wengi wanavyopenda kusikia diamond kapatwa na mabaya ama kashuka,hampend kusikia mazuri bout him,ndivyo ilivyo kwangu...guys badiriken bas,ifike hatua msapoti kile mtu nafanya ,unapoona mtu yupo position flan usijiumize roho na kumwombea mabaya,but furahia kuwa yupo hapo na ndivyo taifa linavyoendelea,Guys hamjui nimeanza nae wapi,hamjui ni kias gan anathamini mchango wa kazi yangu,so mnaongea vitu ambavyo havipo kabisa,kwa nn msistop tu kuniombea mabaya??yeye ndie anafaham umhimu na ubora wa kazi yangu pale,dont judge..mnaongea uongo sana mpka mnakufuru..acheni hizo bana.. sina tatizo na mtu,..kama u like kile nafanya oky..if wachukia mi kuwa hapa... sina cha kusaidia but kukuombea kwa mungu,akupe maisha malefu uzid kuona steps zangu kwenda juu na si kushuka @mrumi na woteOK, tutakuwa tunafanya hvyo next time, haya tunataka kujua, kwa nini Diamond hajaenda na wewe uko Nigeria ukizingatia wewe ndo mtu muhimu especially kuhusu matukio ya picha? kukuacha kwake hakujakuathiri kwa njia yeyote psychological? , je umeshajua anayempiga picha diamond na kuzirusha mitandaoni? Unajisikiaje akipigwa picha na watu wengine wa uko ambao wako technologically fit kukuzid hata wewe? Hauoni hiyo inaweza kukusababishia kibarua kuota nyasi? Be honest
Yule jamaa anayejiitaga mpiga picha wake mbona yeye hakuwepo?
maana nashangaa hajatuletea manews.
Fashion niue....duh... jamaa anawika!ila mavazi yake ndo yananiacha hoi!!![]()
na anayaweza kweli ma fashyon!Fashion niue....
aah wapi! uongo tu..updates zote naweka thisisdiamond.com ndugu,..humu nafanya favor tu kupost
Umeniforce kuzungumza hata nisivyopaswa kuzungmza,ok iko hivi..ni swala la majukumu kumbuka mi si photographer tu,but ni blogger,taking pics na kuwajulisha watu thru our social networks,pia ni graphics designer,so nina majukumu mengi some time nabaki kuendelea na majukumu mengine huku,kumbuka kaongozana na baadhi ya watu ambao pale inapihitajika they can take pics,natumiwa mm kufanya the rest........ anyway nimejieleza kwa kadri mtu mwelewa anaweza kuelewa vizuri..na tatizo lenu hapa nimegundua furaha yenu mnapenda msikie sipo hapa nilipo kama wengi wanavyopenda kusikia diamond kapatwa na mabaya ama kashuka,hampend kusikia mazuri bout him,ndivyo ilivyo kwangu...guys badiriken bas,ifike hatua msapoti kile mtu nafanya ,unapoona mtu yupo position flan usijiumize roho na kumwombea mabaya,but furahia kuwa yupo hapo na ndivyo taifa linavyoendelea,Guys hamjui nimeanza nae wapi,hamjui ni kias gan anathamini mchango wa kazi yangu,so mnaongea vitu ambavyo havipo kabisa,kwa nn msistop tu kuniombea mabaya??yeye ndie anafaham umhimu na ubora wa kazi yangu pale,dont judge..mnaongea uongo sana mpka mnakufuru..acheni hizo bana.. sina tatizo na mtu,..kama u like kile nafanya oky..if wachukia mi kuwa hapa... sina cha kusaidia but kukuombea kwa mungu,akupe maisha malefu uzid kuona steps zangu kwenda juu na si kushuka @mrumi na wote