Diamond platnumz akiwa lagos nigeria tazama full ma interview na the beat 99.9 fm

Diamond platnumz akiwa lagos nigeria tazama full ma interview na the beat 99.9 fm

Juzi kuamkia Jana katika studio za Iyanya zilizopo nyumbani kwake Lagos, Diamond alifanikiwa kumalizia single yake aliyomshirikisha Iyanya. katika video hii fupi, inamuonyesha diamond akiwa ndani ya studio hizo, huku Iyanya akiimba kwa ku-Freestyle kwa lugha ya kiswahili.
d+na+inyaya.jpg


"Nimemalizia kufanya ngoma na Iyanya, na kwasababu yeye amesafiri jana kuelekea nchi Uingereza, basi akirudi ntapanga nae siku ya ku-record video na akili yangu yote inanituma kuifanyia nchini uingereza. nina plan kubwa sana na video ya wimbo huo." amesema Diamond
 
Yule mpiga picha wake anavyonunaga na hizi thread zako
 
Money Stunna,hiyo picha jamaa alipiga siku alivyozamia harusi nini?naona kipedo alichovaa ndo kile kile.
 
Yule mpiga picha wake anavyonunaga na hizi thread zako

jamaa namshangaa sana uyo kifesi heaven on desert uwa ananimind sana nikimzungumzia diamond kwa mazuri sijui anaona yeye ndio ana haki miliki ,lakin nikiweka skendo za diamond wala hana neno ila nikiweka mazuri anakasirika sana.

Mimi ninachomwambia sijali anikasirikie au vip,habari za diamond nitaziweka tu ziwe nzuri au mbaya
 
Last edited by a moderator:
Kila la heri Diamond,kwa mazuri tutakusifia bro ila punguza kujishow off na maskendo basi kidogo,aaargh!

"Nlikuwepo":bolt:
 
jamaa namshangaa sana uyo kifesi heaven on desert uwa ananimind sana nikimzungumzia diamond kwa mazuri sijui anaona yeye ndio ana haki miliki ,lakin nikiweka skendo za diamond wala hana neno ila nikiweka mazuri anakasirika sana.

Mimi ninachomwambia sijali anikasirikie au vip,habari za diamond nitaziweka tu ziwe nzuri au mbaya

Hataki umsifie boss wake anaona wivu, sijui anahis nini mwenyewe duh kazi kweli kweli, mwacheni ndomo wake
 
Last edited by a moderator:
Umeniforce
kuzungumza hata nisivyopaswa kuzungmza,ok iko hivi..ni swala la majukumu
kumbuka mi si photographer tu,but ni blogger,taking pics na
kuwajulisha watu thru our social networks,pia ni graphics designer,so
nina majukumu mengi some time nabaki kuendelea na majukumu mengine
huku,kumbuka kaongozana na baadhi ya watu ambao pale inapihitajika they
can take pics,natumiwa mm kufanya the rest........ anyway nimejieleza
kwa kadri mtu mwelewa anaweza kuelewa vizuri..na tatizo lenu hapa
nimegundua furaha yenu mnapenda msikie sipo hapa nilipo kama wengi
wanavyopenda kusikia diamond kapatwa na mabaya ama kashuka,hampend
kusikia mazuri bout him,ndivyo ilivyo kwangu...guys badiriken bas,ifike
hatua msapoti kile mtu nafanya ,unapoona mtu yupo position flan
usijiumize roho na kumwombea mabaya,but furahia kuwa yupo hapo na ndivyo
taifa linavyoendelea,Guys hamjui nimeanza nae wapi,hamjui ni kias gan
anathamini mchango wa kazi yangu,so mnaongea vitu ambavyo havipo
kabisa,kwa nn msistop tu kuniombea mabaya??yeye ndie anafaham umhimu na
ubora wa kazi yangu pale,dont judge..mnaongea uongo sana mpka
mnakufuru..acheni hizo bana.. sina tatizo na mtu,..kama u like kile
nafanya oky..if wachukia mi kuwa hapa... sina cha kusaidia but
kukuombea kwa mungu,akupe maisha malefu uzid kuona steps zangu kwenda
juu na si kushuka @mrumi na wote

n we diamond's fans appreciate ur work too.ndivyo ilivyo paliko neema hapakosi majungu,muhimu kufocus katika kazi uako na kuwaacha wapiga kelele wapoteze muda wao mana kama wangekuwa na nia njema wangetumia busara kukushauri unapokosea sio kukebehi kila unachokifanya.hongera na ongeza bidii.we r superproud of him n u his photographer offcoz....
 
jamaa namshangaa sana
uyo kifesi heaven on desert uwa ananimind sana
nikimzungumzia diamond kwa mazuri sijui anaona yeye ndio ana haki
miliki ,lakin nikiweka skendo za diamond wala hana neno ila nikiweka
mazuri anakasirika sana.

Mimi ninachomwambia sijali anikasirikie au vip,habari za diamond
nitaziweka tu ziwe nzuri au mbaya

hivi na ww hunaga kazi ya kufanya zaidi ya kutafuta habari za watu? na nini lengo la ulichokiandika hapo, kumkosesha mwenzako na bosi wake ama unajipendekeza na ww ufikiriwe, grow up.ww ni mwanaume na utakuwa kama hujawa bado baba wa familia sa kwa hali hiyo naona mwelekeo wako sio mzuri. madume hatuko hivi kaka, change ni ww...
 
Last edited by a moderator:
hivi na ww hunaga kazi ya kufanya zaidi ya kutafuta habari za watu? na nini lengo la ulichokiandika hapo, kumkosesha mwenzako na bosi wake ama unajipendekeza na ww ufikiriwe, grow up.ww ni mwanaume na utakuwa kama hujawa bado baba wa familia sa kwa hali hiyo naona mwelekeo wako sio mzuri. madume hatuko hivi kaka, change ni ww...

Nina kazi nzuri zaidi yako na sijawai kuajiriwa wala sina mpango huo na nina kazi nimeajiri watu zaidi ya 20 na nina walipa mshahara.

Kuleta habari haimanishi mtu kukosa kazi bali ni mapenzi binafsi na bila kuwepo habari jukwaa ili utalikimbia na litakosa mvuto

Hivyo nataka nikwambie maneno yako kamwe hayawezi kunikatisha tamaa, habari nitaleta kama kawa na nimeanza kupenda habari za celebrity toka na miaka 7 hivyo unajisumbua.

Sikatishwi tamaa na maneno yako
 
Nina kazi nzuri zaidi
yako na sijawai kuajiriwa wala sina mpango huo na nina kazi nimeajiri
watu zaidi ya 20 na nina walipa mshahara.

Kuleta habari haimanishi mtu kukosa kazi bali ni mapenzi binafsi na bila
kuwepo habari jukwaa ili utalikimbia na litakosa mvuto

Hivyo nataka nikwambie maneno yako kamwe hayawezi kunikatisha tamaa,
habari nitaleta kama kawa na nimeanza kupenda habari za celebrity toka
na miaka 7 hivyo unajisumbua.

Sikatishwi tamaa na maneno yako

asante kwa taarifa, sasa kuwa mstaarabu kwa kutowakwaza wengine na kuwavurugia kazi wao, we umeajiri ila wao wameajiriwa,na zaidi usipitilize sana mana inafikia mahala watu wanashindwa kuamini kama ww ni mwanaume kamili...
 
Back
Top Bottom