Diamond platnumz akiwa lagos nigeria tazama full ma interview na the beat 99.9 fm



ulikuwa umelala??

hii habari tunayo gazetini mwetu tayari...

utafukuzwa kazi wewe usipoangalia!
 

Sanaa na Wasanii ndani ya jumba la sanaa...hii ndio bongo
 

Sanaa na Wasanii ndani ya jumba la sanaa...hii ndio bongo

Diamond anahitaji mtu wa kumletea habari JF ili huyu jamaa abaki kua mpiga picha tu otherwise atajiumiza taratibu huyu hawezi kuleta mada kwenye mtazamo chanya anaamini watu wote hatujui nini kinaendelea kwenye huu ulimwengu ila ki-ukweli jamaa kwenye picha yuko vizuri sana na anatekeleza jukumu lake vizuri tatizo kwenye kuleta habari ni aibu.
 
Hili jamaa ni nilipiga picha na sio mtoa habari bali bendera,
Hii ni umecopy na kupest kama alienda kwaajili ya wimbo mpya mbona hujaenda.
Jibu ni kwamba we si mwalikwa kaa tulia mwisho wako bongo
 

Kila kazi ina ujuzi wake, hawa masuper star kwanini wasiwaajiri watu wenye ujuzi huu?
 
Wimbo wa kuhamasisha kilimo cha cocoa

Close to the perfect answer!
Some slight correction,sio kilimo cha cocoa..ni kilimo kiujumla!

Hiyo radio "the beat.fm" ni part of their media team na kila msanii wa hiyo project lazima akahojiwe pale maana wanakutana Nigeria for the.video,wako wasanii 19
Tanzania wawakilishi ni wawili,AY na Diamond!

Ukiingia kwenye site yao kuna details zote one.org
Unasign petition yao then wanakupa access ya kudownload huo wimbo "cocoa and chocolate"
 

Attachments

  • 1396300521675.jpg
    35.4 KB · Views: 165
  • 1396300544981.jpg
    63.7 KB · Views: 161
  • 1396300560373.jpg
    63.6 KB · Views: 161
  • 1396300577694.jpg
    73.9 KB · Views: 152

Samahani JF app ime-crash kwenye simu yangu ivyo nimeshindwa kukupa like ila chukua hii LIKE naomba huyu heaven on desert aje hapa atoe ufafanuzi ili ajue watu wanaulewa wa kutosha nashukuru kwa maelezo yako.
 
Last edited by a moderator:
Samahani JF app ime-crash kwenye simu yangu ivyo nimeshindwa kukupa like ila chukua hii LIKE naomba huyu heaven on desert aje hapa atoe ufafanuzi ili ajue watu wanaulewa wa kutosha nashukuru kwa maelezo yako.

Karibu kaka,
Anytime.
 
Last edited by a moderator:
eti li mtu linambishia tu mtu aliekaribu na ana detail zote...
endeleeni kujifanya wajuaji,mmekalia kubishana ujinga wacha niendelee kupiga kazi huku,,jazen jazeni thread me ntarudi tu kuona ..mmechangia wa ngapi
(na mnaoomba nidrop mtasubiri san(Dai he know ni kias gani am the best kwenye majukumu yangu,pigen poyoyo zenu hapo nyuma ya kibodi,na info zenu za kusoma kwenye magazeti na blogs)
 
Umeniforce kuzungumza hata nisivyopaswa kuzungmza,ok iko hivi..ni swala la majukumu kumbuka mi si photographer tu,but ni blogger,taking pics na kuwajulisha watu thru our social networks,pia ni graphics designer,so nina majukumu mengi some time nabaki kuendelea na majukumu mengine huku,kumbuka kaongozana na baadhi ya watu ambao pale inapihitajika they can take pics,natumiwa mm kufanya the rest........ anyway nimejieleza kwa kadri mtu mwelewa anaweza kuelewa vizuri..na tatizo lenu hapa nimegundua furaha yenu mnapenda msikie sipo hapa nilipo kama wengi wanavyopenda kusikia diamond kapatwa na mabaya ama kashuka,hampend kusikia mazuri bout him,ndivyo ilivyo kwangu...guys badiriken bas,ifike hatua msapoti kile mtu nafanya ,unapoona mtu yupo position flan usijiumize roho na kumwombea mabaya,but furahia kuwa yupo hapo na ndivyo taifa linavyoendelea,Guys hamjui nimeanza nae wapi,hamjui ni kias gan anathamini mchango wa kazi yangu,so mnaongea vitu ambavyo havipo kabisa,kwa nn msistop tu kuniombea mabaya??yeye ndie anafaham umhimu na ubora wa kazi yangu pale,dont judge..mnaongea uongo sana mpka mnakufuru..acheni hizo bana.. sina tatizo na mtu,..kama u like kile nafanya oky..if wachukia mi kuwa hapa... sina cha kusaidia but kukuombea kwa mungu,akupe maisha malefu uzid kuona steps zangu kwenda juu na si kushuka @mrumi na wote
 

Iyo kauli ya yenye red nilitegemea niisikie kwa W.E.M.A....kwann unatupa maswal hiv??Khaaa kabla ujapost cheki kwanza kijana
 
Huo wimbo wa kuhamasisha kilimo tayar ulishafanywa audio na video kabisaaa. Diamond yupo Nigeria kwa mambo yake bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…