Diamond platnumz akiwa lagos nigeria tazama full ma interview na the beat 99.9 fm

Nliona kapart ka hiyo interview jana,domo kama kammeza madam vile maana kiinglish sio haba and full uchangamfu
 
walimuhoji kwa kiswahili au kingereza?
 
Heaven On Desert..
You are less than what diamond needs for his PR activities!
You are only lucky he's not smart enough to notice that!
 
Heaven On Desert..
You are less than what diamond needs for his PR activities!
You are only lucky he's not smart enough to notice that!

we jamaa unamjua kifesi kweli? hapo ujumbe haujafika hata kidogo labda aite mashemeji zake wamtafsilie, jamaa kwenye swala la kidhungu hana anachoambua! alafu mnaosema jamaa ni mkali kwenye kupiga picha hivi mnajua kwa tukio moja huwa anapiga picha ngapi? anapiga picha zaidi ya mia ila zinazotumika hazizidi kumi
 
Hiyo nguo hapo chinii ni kinyelamumo au mama ninye wapii ila kapendezaaaa,HOD mbona simuonii ameachwa au??
 
Diamond....ni hadithi ya mafanikio...kutoka kuuza mitumba tandale.hadi lagos naija..from zero to hero...did they say sky was the limit..they must have been smokin or drinking...
 
Nabii hathaminiwi kwao...there is too much hatred up in here. I thought we should criticize him constructively...anajittahd sana..
 
Akitoka huko aje ahamasishe na vijana wa hapa tz kufanya kilimo,sio anaenda kuimba huko tu,akirudi huku ni mapenzi na mahaba tuuuu,
 
Video ya remix ya number one nzuri ila nachukia jinsi walivyochukua video maana mdomo wa Diamond wanauonyesha ukiwa mkubwa sana
 
Ila ni ushamba sana kupiga picha chooni..

Hata kama ni kwako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…