Diamond Platnumz akutana na Kanye west

wivu mbaya sana halafu ME siku hizi wamechukua nafasi ya KE roho ndogo na chuki za kijinga zitawamaliza mazee hongera simbaaaaa nchi yangu lazima ijulikane duniani kama wameshindwa itambulisha kwa vivutio wataijua kupitia chibudee
Kwani Kanye na Robert Kelly hadhi zipo saw a?....absolutely NO...thanx Kiba ulishafanyaga haya zamani
 
je diamond ana kujua? unamchukiaje mtu ambae hata hana hisia kuna kiumbe kama wewe duniani kazi zake we usipo zisikiza wapo wanao zipenda tafuta pesa dogo kivingine panic at your own risk kamuone mwanasaikolojia unatatizo wewe
Nani kapaniki kati yenu aliyeandika sentens moja au ww uliyejibu kifungu cha habari hahahahaaa...
 
Ndo nn?
 
Mkuu ushamba ndio unaowasumbua ndio maana watu wanaona ni vitu vya ajabu
 
Ilikuwa habari kubwa hii hadi we ukafahamu j.cole alikuja Tanzania
 
Kuna watanzania wapo pia hawaijui marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…