Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

Duuuuhhh uu mwaka uu mondi tutaona mengi mpk wanyoooke wanyoxhe baba..
 
Sijaelewa kitu hapa,ngoja waje wachangiaji wengine huenda nikanasa chochote
 
Falla huyo.
Halafu kuna wale wapuuzi kila siku wanasema Kiba anasafiria nyota ya domo...hii nini?
Kiba hajawahi kumdiss huyo mjingamjinga domo lakini yeye leo kesho meneja wake Salam.
Kiba hawatoki akilini [emoji12].
Huezi jua, labda hivyo vitu vimepangwa ila sisi fans ndo tunaumiza vichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…