Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

Sijaelewa kitu hapa,ngoja waje wachangiaji wengine huenda nikanasa chochote
 
Falla huyo.
Halafu kuna wale wapuuzi kila siku wanasema Kiba anasafiria nyota ya domo...hii nini?
Kiba hajawahi kumdiss huyo mjingamjinga domo lakini yeye leo kesho meneja wake Salam.
Kiba hawatoki akilini [emoji12].
Huezi jua, labda hivyo vitu vimepangwa ila sisi fans ndo tunaumiza vichwa
 
Back
Top Bottom