me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Huyo kaona anaanza kupotea na kaona kiba yupo kimya na yake anaanza kutafuta kiki , kama kweli kaimba hivo basi kumbe domo bila kiba haweziKwenye ngoma ya FID Q, FRESH remix....
Diamond anasikika akisema
Ukinichukia sikosi hela, kuni "compea" na Sindilela haiwezi kuwa fresh..
"Simba toka Mbuga ya Tandale,naona swala wana force tuwe sale sale."
"Viuno vidogo wanataka pensi ya Pepe Kale."
"Si walitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale".. Fresh x2
.......Pole Kiba si ulitaka kiti, Simba amekupa hadi kitanda ukalale....ila isije kuwa unakiuno kidogo halafu unataka pensi la Pepe Kale.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app