Diamond Platnumz amchana Ali Kiba kwenye Fresh remix - Fidq ft Rayvany

Kwenye ngoma ya FID Q, FRESH remix....
Diamond anasikika akisema

Ukinichukia sikosi hela, kuni "compea" na Sindilela haiwezi kuwa fresh..

"Simba toka Mbuga ya Tandale,naona swala wana force tuwe sale sale."

"Viuno vidogo wanataka pensi ya Pepe Kale."

"Si walitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale".. Fresh x2

.......Pole Kiba si ulitaka kiti, Simba amekupa hadi kitanda ukalale....ila isije kuwa unakiuno kidogo halafu unataka pensi la Pepe Kale.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo kaona anaanza kupotea na kaona kiba yupo kimya na yake anaanza kutafuta kiki , kama kweli kaimba hivo basi kumbe domo bila kiba hawezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
afu kiba huwa HAJIBU upuuzi...hapa ndo utajua siyo kila anaevaa suruali ni mwanaume[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ndiye aliyekuwa ana lilia kiti akapewa baada ya kupewa akalalala? Ni kiba?
 
Anasema ana sikia anaitwa baba Abdul..maneno ya mtaani hahaha hapa Hamisa kakanwa hadharani...
 
Huyo domo wenu kaona anapotea kaamua amchokoze kiba na kiba hawez jibu upuuzi kama huo

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUDiamond) .
Niliposikia beat tu nikatamani nifanye verse/ Nikamcheck Ngosha akaniambia mbona fresh/ Upesi upesi nikaandika nimurde kesi/
Na sasa ngoma mtaani imenuka kama kinyesi/
I started young kabla sijaitwa Chibudenga/
Enzi hizo naitwa Domo eti siku hizi lips Denda/ Baba Tiffa mnaniita Baba Nillan/
Nasikia naitwa Baba Abdul, kuna mambo mitaani /
Mzuka ukipanda ukate viuno kama Vanga/
Kwa beat ya Kubanda inayobakwa na muuza karanga/
Ukinichukia sikose hela hivyo kwangu sio kesi/ Kunicompare na Cinderella haiwezi kuwa fresh/ Simba kutoka mbuga ya Tandale/
Naona swala wanaforce tuwe sare sare/
Viuno vidogo wanataka pensi ya Pepe Kalle/
Si walitaka kiti, nimewapa hadi kitanda wakalale . . . OTE]
 
Diamond) .

Si walitaka kiti, nimewapa hadi kitanda wakalale . . .
 
Mondi bin laden

Hahahaaaa bado waendeleee. Kusubir ashuke kumbe wanavypmchukia,mwenzao ni maanabadp anakua ana trend mitandaoni tu
 
hahaha ati kuna mtu ana lazi misha kuvaa bukta ya pepekale
 
Kwenye ngoma ya FID Q, FRESH remix....
Diamond anasikika akisema

Ukinichukia sikosi hela, kuni "compea" na Sindilela haiwezi kuwa fresh..

"Simba toka Mbuga ya Tandale,naona swala wana force tuwe sale sale."

"Viuno vidogo wanataka pensi ya Pepe Kale."

"Si walitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale".. Fresh x2

.......Pole Kiba si ulitaka kiti, Simba amekupa hadi kitanda ukalale....ila isije kuwa unakiuno kidogo halafu unataka pensi la Pepe Kale.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baba tifah si mtu mzuri jamani,mana anaamsha mizimu iliolala.wakisikia wenyewe itakua fresh.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom