Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not just a real man, ata aandikiwe bado hawezi kuchana yule mbana pua
Jua kutofautisha, taarab ipi unayoizungumzia wew ?
kuchana lazimaNot just a real man, ata aandikiwe bado hawezi kuchana yule mbana pua
Umenikumbsha Kanumba wangu jamani, hakuwa na Mpinzani hadi kina Ray wakaishia kumchukia tu. Kanumba alikuwa super star number one. Hata Diamond hakuona ndani japokuwa hawakuwa kwenye tasnia moja.uko sahihi hawa Diamond na Kiba ni kama walivyokua Ray na Kanumba,
Alikiba anapata pressure kubwa sana kutoka Kwa mashabiki zake kutokana na Diamond,alikiba ni msanii anae rizika na mafanikio madogo sana na hana kiu wa kutusua kikubwa kama Diamond,kiujumla yeye ni average artist,ila kwa sababu team kiba wanampa amshaamsha ndio na yeye anajaribu kukaza.