Diamond Platnumz amchana Ali Kiba kwenye Fresh remix - Fidq ft Rayvany

Diamond Platnumz amchana Ali Kiba kwenye Fresh remix - Fidq ft Rayvany

uko sahihi hawa Diamond na Kiba ni kama walivyokua Ray na Kanumba,

Alikiba anapata pressure kubwa sana kutoka Kwa mashabiki zake kutokana na Diamond,alikiba ni msanii anae rizika na mafanikio madogo sana na hana kiu wa kutusua kikubwa kama Diamond,kiujumla yeye ni average artist,ila kwa sababu team kiba wanampa amshaamsha ndio na yeye anajaribu kukaza.
Umenikumbsha Kanumba wangu jamani, hakuwa na Mpinzani hadi kina Ray wakaishia kumchukia tu. Kanumba alikuwa super star number one. Hata Diamond hakuona ndani japokuwa hawakuwa kwenye tasnia moja.
 
Diamond anaona wivu tu, alkiba siku hizi ni Ulaya na America. Diamond inamuuma sana hiyo. Ukizingatia siku hizi Diamond ni kama vile anashuka so anamwogopa Alli.
 
Back
Top Bottom