Diamond Platnumz ameonesha 'lack of professionalism' kwenye hili

Muache awe affiliated na ccm hawajui..
 
Hivi inawezekanaje mtu maisha yake yote kaishi dar halafu kipindihiki cha uchaguzi arudi kijinini akagombee ni haki kweli? Anajuaje changamoto na matatizo ya wanakijiji hii imekaa vibaya anyway siasa si hasa bali visa na mikasa tusubiri kamati kuu tuone.
 
Mkuu let me Clarify here,,hiyo 104.1 sio Mwanza ni Dodoma,,Wameanza na Dodoma
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kumbe ni Dodoma ye kaona kwanza kazani Mwanza Asee umbeya ni kitu kibaya sana.
 
Halafu unawezakuta katika akili na mategemeo yao walidhani Mwanza ndio ingepata kura nyingi lakini wakawa surprised, so wafanye nini ikabid waforce tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ