Diamond Platnumz ameonesha 'lack of professionalism' kwenye hili

Diamond Platnumz ameonesha 'lack of professionalism' kwenye hili

wapi amesema amewasha mwanza???
Alitaja frequency lakini mdau mmoja ninayemfahamu anakaa Mwanza akasema sasa anaisikia Wasafi FM kupitia hiyo frequency aliyotaja Mondi
 
Nampongeza Diammd kwa kutengeneza 'kundi la misukule' anaigeuza atakavyo.

Ni sawa na Misukule ya Gwajima:

2015 Aliiuza kwa Lowassa.

Leo 2020, Kaiuza kwa Magufuli.

Diamond naye ya kwake mwaka huu kaiuza kwa Magufuli/CCM.

Hata Hiyo Radio yenyewe "content ni Jibberish'

Yaani inasikilizwa kwasababu ni "Radio ya Diamond"
 
Punguza Makasirikoo yasiyo na tijaa kijanaa utakufaa siku sio zakoo...[emoji1787][emoji1787]
 
Kuhusu mkoa wewe unaweza piga kura lkn wao wakawa wanaangalia biashara zaidi.

Mikoa kama Mwanza na Arusha kibiashara ipo vizuri.Huwezi jua hata makampuni wanataka matangazo yao yasikike mikoa hiyo.
Exactly
 
Sasa tumepata majibu. Mkoa gani babu kubwa kati ya Mwanza,Arusha na Mbeya. Kwa hiyo baada ya Mwanza,watafuata Arusha,then Mbeya,then hizi zingine
 
Lack of professional [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mzee Ni type error jikite kwenye hoja
 
Back
Top Bottom