Diamond Platnumz ameonesha 'lack of professionalism' kwenye hili

Hongera kwa kumiliki radio na kurusha matangazo, zaidi radio yao wana haki ya kuamuwa chochote kile ali mradi watiii sheria za nchi..
 
Vipi unamiliki biashara ya vyombo vya habari n entertainment?

Au ndio Wale wa kukosoa Tu halafu wewe mwenyewe unasubiri mshahara wa boss?
 
Kihelehele chako kupiga kura uchaguzi wa nchi kiparata huna wa wasaf uko mbele acha waamue wao kura yako ilikuwa ya ushaur tu na sio lazma ufatwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…