Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya MTV Msanii Bora Afrika, amgaragaza Burnaboy

Hupo sahihi mkuu, ila sio kujituma tu ni lazima uwe na mipango. Kuna msanii kila mwaka anaachia album 2 na singles 20 ila ata tuzo hana, sasa huyu ndio mfano mzuri wa anayejituma bila mipango
Unachotaka kuleta hapa ni ushabiki mondi ni kweli anajituma sana, lakini bado hana mziki mzuri kama mashabiki wake wanavyo tarajia
 
Hajashinda category ya msanii bora, ameshinda best African act. Be careful siku nyengine
 
Unachotaka kuleta hapa ni ushabiki mondi ni kweli anajituma sana, lakini bado hana mziki mzuri kama mashabiki wake wanavyo tarajia
Ww muziki mzuri unaujua? Au mmezoea mtu akibana pua akiimba kila siku anateswa ndio muziki mzuri? Mond haimbi tena kwa ajili ya Tz tu bali anaimba kwa ajili ya Africa na dunia na ndio maana unaona shu inahit sana huko ughaibuni, sasa ww nikuulize tafsiri ya muziki mzuri ni nn? Nioneshe msanii mwenye huo muziki mzuri hapa Tz mwenye mafanikio kama au zaidi ya Mond
 
Ahsante Sana mkuu kwa kutupa hamasa
 
Haya hongereni na nyie mnaosema anatumia madawa ya kulevya (unga) kwamba sauti yake saivi haieleweki kabisa..

Hongereni wote mnaomchukia pia...

Hongera kwa Taifa kwa kuwa na aina hii ya mwanamuziki,sanaa imepata Mwakilishi kwenye hii nchi yetu.
 
ifike mahali Rais wa nchi aache upendeleo katika kuinua sanaa na burudani katika hii nchi.

Sio mpira tu unaitangaza hii nchi, hizo Milioni 10 kwa kila goli nadhani ingewekwa vizuri kwamba

Kila Msaniii atakae peperusha bendera ya TAIFA hili basi nae apewe Kibunda.

Msanii sina maana ya Wanamuziki tu,au wacheza mpira tu,au waigizaji, Sanaa ipo pana.

ila hii kutoa hela kwenye Mipira na Magoli yanayofungwa na kuwaacha hawa wasaniii wanaopeperusha Bendera bila kitu si nzuri.

Rais anatakiwa atenge fungu kama alivyofanya kwenye mpira.

Hizi Juhudi zingeongezeka kwa kiasi kikubwa sana.

Diamond ifike mahali Apewe heshima yake na Hili taifa kwenye swala la kuitangaza hiii nchi.

Hongera Kwake, maswala mnasubiri AFE halafu mseme Akaagwe KARIMJEEE ni UNAFKI.

AFE mtoe ndege kwenda kuzika,Mtoe rambi rambi kubwa mgharamie mazishi huo ni ungengema Mpeni Mtu stahiki zake angali yuko macho anaona.
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…