Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya MTV Msanii Bora Afrika, amgaragaza Burnaboy

Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya MTV Msanii Bora Afrika, amgaragaza Burnaboy

Unachotaka kuleta hapa ni ushabiki mondi ni kweli anajituma sana, lakini bado hana mziki mzuri kama mashabiki wake wanavyo tarajia
Hebu weka chuki pembeni halafu jiulize mziki mzuri ni upi ambao Diamondplutnumz hana?

1.African beauty

2;jeje

3;merry you

4;Pound dollars

5;Nitampata wapi

6;Baila

7;Utanipenda?

Aisee tupunguze chuki
 
Juhudi haziwezi kukwangusha mara zote, leo utakosa, pambana kesho utatoboa..

Diamond Platnumz, a true sign of a real Hustler who never give up.

From Shida sana to Raha Sana
 
Back
Top Bottom