Diamond ni mzee wa kazi matendo yanaongeaWakina Konde boy na Ali Kiba jealous tu, lakini watasubiri sana kwa huyu jamaa. Yaani we fikiria vile Alicia Keys saved your number on her phone! Huyu mjomba ashatoboa, sema wabongo na jealous zao wanataka kumfananisha na Aslay, dah, yaani I don't understand. Roho mbaya za Watanzania wenzangu, vile Hasheem Thabeet didn't make it to the NBA, wao ndio roho zao kwatu kabisa, sasa sijui ndio wanafaidika na nini.
Wakina Konde boy na Ali Kiba jealous tu, lakini watasubiri sana kwa huyu jamaa. Yaani we fikiria vile Alicia Keys saved your number on her phone! Huyu mjomba ashatoboa, sema wabongo na jealous zao wanataka kumfananisha na Aslay, dah, yaani I don't understand. Roho mbaya za Watanzania wenzangu, vile Hasheem Thabeet didn't make it to the NBA, wao ndio roho zao kwatu kabisa, sasa sijui ndio wanafaidika na nini.
Hongera kwa Diamond..Watakuja hapa utasikia "Diamond kamlipa Alicia Keys amuweke kwenye album yake....."
Njia nzuri ya kushindana na maadui zako ni kwaacha wa ongee,huku wewe ukifocus na kuconcetrate na kazi zako,mwisho wa siku kupitia collabo kama hizi na Number ktk digital platforms zitaongee,so acha unacho kifanya kiongee.
Nice work na ni tabia yake kufanya vizuri.
Ngojera kwa mtizamo wako,ila na andika anachokipitia jamaa.Hongera kwa Diamond..
Nyie wenyewe mnaandika ngonjera tu na kuendeleza ligi.
Maana tayari mnashindanisha uzi usihitaji kushindanisha.
Tekashi ni snitch [emoji23]....King Kiba kashapiga kolabo na tekashi sema tu hapendi show off.
Nchi hii ina kizazi chenye hasara sana, yaani matabaka ya monopoly duniani huwa tunayajenga wenyewe.Hongera kwa Diamond..
Nyie wenyewe mnaandika ngonjera tu na kuendeleza ligi.
Maana tayari mnashindanisha uzi usihitaji kushindanisha.
nenda jukwaa la sport kuna njemba zinashabikia Samatta auzwe pale Aston Villa.Wakina Konde boy na Ali Kiba jealous tu, lakini watasubiri sana kwa huyu jamaa. Yaani we fikiria vile Alicia Keys saved your number on her phone! Huyu mjomba ashatoboa, sema wabongo na jealous zao wanataka kumfananisha na Aslay, dah, yaani I don't understand. Roho mbaya za Watanzania wenzangu, vile Hasheem Thabeet didn't make it to the NBA, wao ndio roho zao kwatu kabisa, sasa sijui ndio wanafaidika na nini.
Mkaruka Mwanzoni ulianza vizuri ila umekuja kuharibu baada ya kutia majungu na masufuria + chuki na wivu diamond shows zake nyingi Ni za nje na ndio zinazompa hela nyingi mwaka Jana alipiga shows 50 za nje ikiwemo Korea kusini,Mayotte,ufaransa,USA na uingereza bila kusahau alifanya show ya Afcon Award aliyochukua mane Kama mchezaji Bora wa Africa.Na mwaka Huu kachaguliwa kuperform ureno ingekuwa hizo collabo hazisaidii hii hatua angepigajeNchi hii ina kizazi chenye hasara sana, yaani matabaka ya monopoly duniani huwa tunayajenga wenyewe.
Ndio maana mmoja ana trillion 100 mfukoni mwingine hana hata 100.
Yaani wstu wasifanye muziki Kwasababu eti wataonekana wanashindana na mtu mwingine.
Mwisho wa siku kuimba na hawa wamarekani binafsi huwa naona kama tu kutimiza ndogo yako labda ulipenda kufanya kazi na fulani, ila haina manufaa kivile.
Burnaboy muziki wake umetoboa kavukavu. Kafanya interview kwenye shows kubwa sana US kama Daily Show na Jimmy Kimmel
So, binafsi sioni sababu ya wasanii kulazimisha saaana na kuwa frustrated.
Unatumia milioni 30 kugharamika video na audio, then show unabanana humuhumu na kina Msaga sumu
πππππnenda jukwaa la sport kuna njemba zinashabikia Samatta auzwe pale Aston Villa.
Labda Kwa Africa.Mkaruka Mwanzoni ulianza vizuri ila umekuja kuharibu baada ya kutia majungu na masufuria + chuki na wivu diamond shows zake nyingi Ni za nje na ndio zinazompa hela nyingi mwaka Jana alipiga shows 50 za nje ikiwemo Korea kusini,Mayotte,ufaransa,USA na uingereza bila kusahau alifanya show ya Afcon Award aliyochukua mane Kama mchezaji Bora wa Africa.Na mwaka Huu kachaguliwa kuperform ureno ingekuwa hizo collabo hazisaidii hii hatua angepigaje
Wabongo wachawi Sana.!nenda jukwaa la sport kuna njemba zinashabikia Samatta auzwe pale Aston Villa.
nenda jukwaa la sport kuna njemba zinashabikia Samatta auzwe pale Aston Villa.