Habari nzuri,
Msanii wetu wa Tanzania Diamond Platnumz atakuwepo kwenye moja ya collabo ilipo kwenye album mpya ya Alicia Keys.
Alicia Keys amethibitisha hivyo kwa kuonesha list ya nyimbo zitazokuwepo kwenye album yake hiyo mpya na moja Kati ya nyimbo ipo aliyomshirikisha Diamond.
Tumekuwa tukizoea baadhi ya Wasanii wa Bongo kama AY na Diamond kufanya collabo na American artist lakini Safari hii Diamond ndio kashirikishwa.