Diamond Platnumz ampa ushauri Eric Omondi juu ya chuki wanayoieneza kwa wasanii wa Tanzania

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake.

20241208_155301.jpg

20241208_155304.jpg

Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za mafanikio ili na wewe utoboe.

Diamond is so genius
 
Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake.

View attachment 3172225

View attachment 3172226

Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za mafanikio ili na wewe utoboe.

Diamond is so genius
Angekuwa katoka Nigeria wala wasingemaindi ni vile katoka Tanzania.

Halafu kama alivyosema diamond, muziki watu hawaupendi kisa ni msanii wetu, wanaupenda kwa sababu watu wanafanya vizuri.

Kuna kipindi kenya walikuwa juu yetu. Nakumbuka akina AY kipindi hicho kwemye interview wanasema nimefamya ngoma na msanii wa kimataifa unakuta anataja msanii wa kenya akina prezzo, na wengine.

Na ilikuwa inaelekea kenya wasanii wanatengeneza fedha kuliko wa tz na mimi ni mmoja ya watu niliyenawaona akina nameless, wahuu, prezzo, red sun na wengine wako juu sana.

Ila juhudi zilibadilisha meza sasa wao mara nyingi ndio wanaomba collabo na Watanzania.

Katika sanaa watu hulipwa kutokana na ukubwa wa jina na wakati mwingine hata muda huo hapigi show kubwa kihivyo ila unakuta watu wamejaa kumtazama.

Hili bifu la muziki naona wakenya wanalitafuta muda sana sijui kwa sabahu huwa wanaamini watz hatuwezi kufanya chochote bora kuwazidi wao.
 
Kina eric omondi kila siku wapo lock up kwa kupigania haki za wananchi na kukosoa serikali dhalimu.... huku kwetu kila siku wapo busy kushindana kutunga nyimbo za kusifia ccm tu na kusifia ujinga ujinga.....

Shenzi
 
Ameandika kwa hekima. Naona wakenya imewauma sana show ya Diamond huko Kenya. Kuna mmoja nimeona anajiliza kuwa kapigwa eti kisa amekataa Diamond aperform kabla yake.

Inasikitisha jamaa wanatafuta kick kupitia Dai. Hii ni chuki na vita waziwazi. Leo nimekuunga mkono chawa wa mond ndugu yangu sinza pazuri
Wakenya hawataki kukubali tumewazidi kwenye mambo ya sanaa.
 
Angekuwa katoka Nigeria wala wasingemaindi ni vile katoka Tanzania.
Halafu kama alivyosema diamond, muziki watu hawaupendi kisa ni msanii wetu, wanaupenda kwa sababu watu wanafanya vizuri.
Kuna kipindi kenya walikuwa juu yetu. Nakumbuka akina AY kipindi hicho kwemye interview wanasema nimefamya ngoma na msanii wa kimataifa unakuta anataja msanii wa kenya akina prezzo, na wengine.
Na ilikuwa inaelekea kenya wasanii wanatengeneza fedha kuliko wa tz na mimi ni mmoja ya watu niliyenawaona akina nameless, wahuu, prezzo, red sun na wengine wako juu sana.
Ila juhudi zilibadilisha meza sasa wao mara nyingi ndio wanaomba collabo na watz.
Katika sanaa watu hulipwa kutokana na ukubwa wa jina na wakati mwingine hata muda huo hapigi show kubwa kihivyo ila unakuta watu wamejaa kumtazama.
Hili bifu la muziki naona wakenya wanalitafuta muda sana sijui kwa sabahu huwa wanaamini watz hatuwezi kufanya chochote bora kuwazidi wao.

Inawauma sana kuona tumeteka soko lao la muziki na sasa watu wameanza kuwa na interest na Yanga na Simba.
Yani wanachukia kuona msanii kama Zuchu anapewa presidential reception nchini kwao ila akifanyiwa hivyo tiwa savage wala awamaindi
 
Nakumbuka miaka Ile wakenya kibao wanapelekwa na ebony fm Iringa kwenye matamasha pale samora akina DJ eddo Bashir wakiwa wamoto nonini, wahuni, nameless , jaguar yaani ilikua balaa huko , enzi hiyo bongo Fleva imedrop , wasanii wa bongo walifanya uwekezaji mkubwa Sana Leo Kenya wanapenda bongo music kuliko genge tone yao, wasione sie wajinga no tuna akili timamu na ndio maana East Africa Tanzanian artists wanatamba , willypaul sio wakukaa meza moja na mond
 
Domo , ni matured kaandika m
Kwa hekima Sana .

Ukiachana na tabia zake za kuoga na na nanii wake ...

Pamoja na kuingiza watu wa ..... Nyumbani kwake

Na kupita na akina Moni

Mambo yaliyobakia mengine anajitahidi
 
Kabisa mkuu. Wasanii wabongo walianza kuwekeza sana kwenye muziki na video nje na collabo na wanaija.
Wakenya hawakunyanganywa nafasi kwa wabongo kutaka tufanye riot na kuwasusia muziki wao.
 
Wale wahenga wenzangu mnakumbuka bills , maisha bila wasanii wakenya zilikua hazinogi enzi hizo majizo akiwa DJ , ndio tunakuja kuruka Ngoma za akina eastcoast, nature na cruel yake, pembeni squuezer na dataz kule complex tulisafiri kutoka sehemu mbalimbali kwenda triple A Arusha kucheza Ngoma za wakenya lakini now kiko wapi? Wakubali wajifunze sio mbaya
 
Domo , ni matured kaandika m
Kwa hekima Sana .

Ukiachana na tabia zake za kuoga na na nanii wake ...

Pamoja na kuingiza watu wa ..... Nyumbani kwake

Na kupita na akina Moni

Mambo yaliyobakia mengine anajitahidi
Hebu fungua kodi mkuu.
Mimi siwakubaliw asafi kwa mambo mengi ila hii movement ya kenya ni ya kijinga kabisa. Alichoandika diamond ni ukweli.
 
Sure kaandika Kwa hekima sana

Mimi sikubaliani nae Kwa issue tatu

Kuoga na nanii wake .......

Kuingiza Sana watu wanaochezea timu mbili kwake ....

Na kupita na hawa Centro zoni na mzee wa nainai.

Hapo tu Ila efforts katika kutafuta hela anazo kubwa Sana .
 
Kina eric omondi kila siku wapo lock up kwa kupigania haki za wananchi na kukosoa serikali dhalimu.... huku kwetu kila siku wapo busy kushindana kutunga nyimbo za kusifia ccm tu na kusifia ujinga ujinga.....

Shenzi
Kusifia CCM ndio kunawafanya wasanii wetu kuwa kwenye chati? Sio Kila mada inahusu siasa
 
Back
Top Bottom