Diamond Platnumz ampa ushauri Eric Omondi juu ya chuki wanayoieneza kwa wasanii wa Tanzania

Diamond Platnumz ampa ushauri Eric Omondi juu ya chuki wanayoieneza kwa wasanii wa Tanzania

Diamond anaogopa wasije kum unsubscrbe kule Youtube
 
Ila wa kenya wanaakili sana aisee, wameona wa deal na the game changer ambae wanahisi ndio sababu ya wao kudrop.

Hapa Sasa baadhi yawatz tulivyo na roho mbaya na wivu baina yetu, utashangaa wapo watakao ungana na wakenya😂
 
Muziki ni wa watu ambao hawajasoma. Wakenya mmesoma tuachieni watanzania ambao mnasema hatujasoma tufanye muziki
 
Hebu fungua kodi mkuu.
Mimi siwakubaliw asafi kwa mambo mengi ila hii movement ya kenya ni ya kijinga kabisa. Alichoandika diamond ni ukweli.
Miaka ya nyuma kulikuwa na mashindano ya kutafuta wanamuziki ya east Africa yaliyofanyikia Kenya. Nakumbuka Peter Mchechu alifanya vizuri sana lakini judges wakenya walimharibia asiwe wa kwanza kwa kumkashifu na kumpitisha Mkenya ambaye hakumfikia Mchechu katika performance. Wakenya japo wana umoja wai kwa wao, bado ni wabaguzi sana kwa mataifa mengine..
 
Back
Top Bottom