Diamond Platnumz ampa ushauri Eric Omondi juu ya chuki wanayoieneza kwa wasanii wa Tanzania

Diamond Platnumz ampa ushauri Eric Omondi juu ya chuki wanayoieneza kwa wasanii wa Tanzania

Sure kaandika Kwa hekima sana

Mimi sikubaliani nae Kwa issue tatu

Kuoga na nanii wake .......

Kuingiza Sana watu wanaochezea timu mbili kwake ....

Na kupita na hawa Centro zoni na mzee wa nainai.

Hapo tu Ila efforts katika kutafuta hela anazo kubwa Sana .
hii mzee wa centro zoni mkuu ni kali kwa sababu nilidhani atakuwa anammaindi jamaa baada ya kipindi fulani demu wake kuwa bsy na ahwa wcb kiasi kwamba jamaa ikawa kama kachnganyikiwa.
 
Kusifia CCM ndio kunawafanya wasanii wetu kuwa kwenye chati? Sio Kila mada inahusu siasa
Kuna comments za watz wanaungana na wakenya kuwa wanachofanya si sawa ila watawaunga mkono maana hao wasanii kwenye mambo yanayowahusu watanzania wenzao huwa hawako pamoja nao basi kila mtu acheze mechi yake na kupambana na hali yake.
 
hii mzee wa centro zoni mkuu ni kali kwa sababu nilidhani atakuwa anammaindi jamaa baada ya kipindi fulani demu wake kuwa bsy na ahwa wcb kiasi kwamba jamaa ikawa kama kachnganyikiwa.
Ndo mchezo wa kisasa huo Ila wanachezea Sana ' MTALIMBO WA JAMAA'
 
Wakenya wakae kwa kutulia, wanapambana na Diamond wakati Bongo sasa hivi kuna madogo wanatoa ngoma bila kubahatisha.
Waacheni wapambane kwa majungu, huku kwetu watu wanakesha studio.
 
Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake.

View attachment 3172225

View attachment 3172226

Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za mafanikio ili na wewe utoboe.

Diamond is so genius
Eric Omond ameandika kitu cha kipuuzi mnoo.
Hajui kuwa, msanii mgeni, huja kama msanii wa kimataifa, na kupitia status hiyo msanii anaweza kutaka special treatment&settings kabla, wakati au baada ya kufanya onyesho lake, lengo ni kulinda brand zao kwa kuwatengenezea special attention. Hizo ndio terms&conditions baina ya msanii husika na waliomualika. Na hilo lipo popote duniani hata kwenye maisha yetu ya kila siku.

Ni vigumu sana kuweka hizo special setting&treatment kwa kila msanii mwenyeji kila wakati. Wasanii wageni (wakimataifa!) huja mara chache na lazima wawe maarufu mnoo na automatically watapewa special treatment. Wasanii wazawa, wapo siku zote, na tumeshajenga mazoea.
 
Diamond msanii mdogo sana anaukubwa gan kuimba hajui
Japokuwa mimi binafsi simkubali kabisa Diamond (kwa sababu ya aina ya uombaji wake uliojaa matusi, kuhamasisha ngono na mienendo mibovu), lakini kiuhalisia Diamond ni msanii mkubwa sana kimataifa, kwa Tanzania hakuna wakumfikia na kwa Afrika, kama utataja wasanii watano maarufu zaidi kwa sasa, ni lazima jina la Diamond liwepo.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Hqhqhqhq
 
Wakenya na wenyewe wanatakiwa wakati fulani wakubali tu ukweli! Watanzania wana vipaji vikubwa vya kuimba na kutunga nyimbo za muziki ukilinganisha na wao.

Binafsi nawapongeza kwenye upande wa nyimbo za dini (na hasa zile za Katoliki) wamekubali matokeo. Siku hizi ni kawaida kuona wanatumia nyimbo nyingi za watunzi wa Tanzania, na hata pia kuchukua baadhi ya waimbaji na kushirikiana nao kwenye kazi za muziki.

Anachokifanya Eric Omondi ni ubinafisi na pia wivu usio wa maendeleo. Hata sisi Bongo miaka ya 1990's baada ya video na television kuanza kuruhusiwa nchini, nyimbo za Wakongomani zilipendwa zaidi kuliko za Wabongo! Lakini siku hizi mambo ni tofauti.
 
Eric omond kila akifika bongo hupewa VIP treatment na anakua wakwanza kuperform , sasa hayo hakumbuki yeye anajifanya kutetea muziki wa Kenya ambao kimsingi uko nyuma Sana kwa east Africa, mbaya zaidi anasambaza chuki za kijinga sio sawa
 
Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake.

View attachment 3172225

View attachment 3172226

Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za mafanikio ili na wewe utoboe.

Diamond is so genius
Wakenya wameshazoea ukabila....tangu lini poze akawa na hadhi sawa na super platinum??? Kila mmoja anapta treatment kulingna na hadhi yake. Waache chuki
 
Msanii anapewa kile ambacho wamekubaliana na promoters. Sasa ukikubali kupewa buku usilete vurugu kwasababu umeona mwenzako kapewa nyingi. Ni simple tu, na wewe badilisha standard kama unaweza
 
Back
Top Bottom