sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Angekuwa katoka Nigeria wala wasingemaindi ni vile katoka Tanzania.Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake.
View attachment 3172225
View attachment 3172226
Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za mafanikio ili na wewe utoboe.
Diamond is so genius
Usahihi wao ni upi?Wakenya wapo sahihi
Wakenya hawataki kukubali tumewazidi kwenye mambo ya sanaa.Ameandika kwa hekima. Naona wakenya imewauma sana show ya Diamond huko Kenya. Kuna mmoja nimeona anajiliza kuwa kapigwa eti kisa amekataa Diamond aperform kabla yake.
Inasikitisha jamaa wanatafuta kick kupitia Dai. Hii ni chuki na vita waziwazi. Leo nimekuunga mkono chawa wa mond ndugu yangu sinza pazuri
Angekuwa katoka Nigeria wala wasingemaindi ni vile katoka Tanzania.
Halafu kama alivyosema diamond, muziki watu hawaupendi kisa ni msanii wetu, wanaupenda kwa sababu watu wanafanya vizuri.
Kuna kipindi kenya walikuwa juu yetu. Nakumbuka akina AY kipindi hicho kwemye interview wanasema nimefamya ngoma na msanii wa kimataifa unakuta anataja msanii wa kenya akina prezzo, na wengine.
Na ilikuwa inaelekea kenya wasanii wanatengeneza fedha kuliko wa tz na mimi ni mmoja ya watu niliyenawaona akina nameless, wahuu, prezzo, red sun na wengine wako juu sana.
Ila juhudi zilibadilisha meza sasa wao mara nyingi ndio wanaomba collabo na watz.
Katika sanaa watu hulipwa kutokana na ukubwa wa jina na wakati mwingine hata muda huo hapigi show kubwa kihivyo ila unakuta watu wamejaa kumtazama.
Hili bifu la muziki naona wakenya wanalitafuta muda sana sijui kwa sabahu huwa wanaamini watz hatuwezi kufanya chochote bora kuwazidi wao.
Diamond msanii mdogo sana anaukubwa gan kuimba hajui
Hakika ni jibu lenye upendo na upeo mwingiBaada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake.
View attachment 3172225
View attachment 3172226
Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za mafanikio ili na wewe utoboe.
Diamond is so genius
Kabisa mkuu. Wasanii wabongo walianza kuwekeza sana kwenye muziki na video nje na collabo na wanaija.Nakumbuka miaka Ile wakenya kibao wanapelekwa na ebony fm Iringa kwenye matamasha pale samora akina DJ eddo Bashir wakiwa wamoto nonini, wahuni, nameless , jaguar yaani ilikua balaa huko , enzi hiyo bongo Fleva imedrop , wasanii wa bongo walifanya uwekezaji mkubwa Sana Leo Kenya wanapenda bongo music kuliko genge tone yao, wasione sie wajinga no tuna akili timamu na ndio maana East Africa Tanzanian artists wanatamba , willypaul sio wakukaa meza moja na mond
Hebu fungua kodi mkuu.Domo , ni matured kaandika m
Kwa hekima Sana .
Ukiachana na tabia zake za kuoga na na nanii wake ...
Pamoja na kuingiza watu wa ..... Nyumbani kwake
Na kupita na akina Moni
Mambo yaliyobakia mengine anajitahidi
Sure kaandika Kwa hekima sanaHebu fungua kodi mkuu.
Mimi siwakubaliw asafi kwa mambo mengi ila hii movement ya kenya ni ya kijinga kabisa. Alichoandika diamond ni ukweli.
Moni yupi?Na kupita na akina Moni
Kusifia CCM ndio kunawafanya wasanii wetu kuwa kwenye chati? Sio Kila mada inahusu siasaKina eric omondi kila siku wapo lock up kwa kupigania haki za wananchi na kukosoa serikali dhalimu.... huku kwetu kila siku wapo busy kushindana kutunga nyimbo za kusifia ccm tu na kusifia ujinga ujinga.....
Shenzi