Huo wimbo ungependeza kama angeimba kwenye b day ya Maradona maana yeye ndiye tipwatipwa kwa sasa.
Ila yote ya yote Diamond nyota yake iko mbali sanaaaaaaaaaaaaa kwa hapa nchini hana mpinzani katika muziki.
Kila mtu ni shahidi katika hili. Tukitazama alipokuwa awali na alipo kwa sasa ni wazi jamaa ame-shine sana.Huo ndiyo ukweli Mkuu, pamoja na baadhi ya Watanzania kuwa na chuki za kutisha kwa huyu lakini milango ya neema bado inamfungukia tu.
Kila mtu ni shahidi katika hili. Tukitazama alipokuwa awali na alipo kwa sasa ni wazi jamaa ame-shine sana.
Hahaaa!daaahAli Kiba ashaimba kwenye birthday ya Messi na wala hatujaona show off kama za huyu jamaa.
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli, tena aliimba wimbo wa 'Mwambie sina'