hata waliosoma wanatafuta pesa, ndo maana wasomi wengi wanahesabu tarehe za mishahara na kusubiri kukopa hata pesa ya kula.......unaringia elimu bongo nakati upo na kidegree chako umekwama na unaona hakina tija. pesaKwani MTU anasoma ili aweje?na je kama akili ni za kuunga kibashite bashite alazimishe? Kajitahidi kujua lugha, kuhesabu hela + kipaji na vinampa kipato cha kutosha iliyobaki ale maisha tu hakuna haja ya kuangaika na shule.
unahisi ye hajui uzee wake, yaani mtu utokee familia km ya platnumz afu ushindwe kujua ya kesho. uwekezaji wake ni mkubwa mno kuliko tujuavyoNimetoa mtizamo wangu.
Gwajima kila misa anavuta millions na hatumii nguvu.
Sasa yy aendelee na Maigizo aje ajute uzeeni.
Tulia basi. Mm nimetoa mawazo yangu. Na unaweza kuwa ushauri pia.unahisi ye hajui uzee wake, yaani mtu utokee familia km ya platnumz afu ushindwe kujua ya kesho. uwekezaji wake ni mkubwa mno kuliko tujuavyo
hahahaaaaaaaa, weweeeeeeee. DONGO HILOAli Kiba analo kama hilo tangu mwaka juzi sema aliendeshi tu, hapendi show off.
Mwanamuziki namba moja Tanzania na Afrika Mashariki baada ya kushambuliwa sana na mitandao ya kijamii wiki jana na mwanzoni mwa wiki hii ameamua kujipoza na ndinga kali yenye hadhi ya kimataifa.
wewe una vyuo vingapi na mashule mangapi.. mipango sio matumizi... ni rahisi sana kupanga kitu ila kutekeleza ni shughuli pevu.. ungeibua njia za kupata pesa sio kupangia watu watumizi baada ya kupata pesa zaoMnafiki ni were usiyejua nilimaanisha nini.
Kwa taarifa yako sifanyi mashindano Bali naibua ajira ili niwasaidie wengine.
Utakonda, fyuuuuuNimetoa mtizamo wangu.
Gwajima kila misa anavuta millions na hatumii nguvu.
Sasa yy aendelee na Maigizo aje ajute uzeeni.
Sasa mm ananisaidia nn maishani mwangu niwe nae na wivu?Wivu Ni kidonda ukishiriki
Utakonda, fyuuuuu
Ndio vizufi kuwa nyuma ya serikali wakikutuma ukifanya kama walivyokuagiza aaah mbona utafulahi hata kama mama yako yuko mhimbili utasahau mateso anayopataMwanamuziki namba moja Tanzania na Afrika Mashariki baada ya kushambuliwa sana na mitandao ya kijamii wiki jana na mwanzoni mwa wiki hii ameamua kujipoza na ndinga kali yenye hadhi ya kimataifa.
well said !!Wabongo wanafiki sana, unarusha dongo kwa mwanaume mwenzio wakati wewe hata baiskeli ya kuazima tu huna.
Hizo ni ndoto zako wewe, na yeye anazo ndoto zake. Elewa mangiKumbe ujanielewa,naposema kuwekeza kwenye Elimu sio kujiendeleza Bali ni kufungua shule au chuo cha muziki.
HahahaaaaaaAli Kiba analo kama hilo tangu mwaka juzi sema aliendeshi tu, hapendi show off.
Weka na gari ya babako mkuu au nyie ndo wale mnaokodiwa kwenye maandamano ya kisiasaMbona hayafanani? Au ulikosea title?
Elimu pesa huna, ujinga mara 100,ulisoma uwe na pesa sio Kujaza vyeti, Ahaaa unasubiri ajira mwaka wa 4Badala ya kuwekeza kwenye elimu anaanza mashindano.
Weka na gari ya babako mkuu au nyie ndo wale mnaokodiwa kwenye maandamano ya kisiasa
Ameajiri wasomi wanamfanyia kaziBadala ya kuwekeza kwenye elimu anaanza mashindano.