Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Nashukuru.Sasa vimsaidie nini au hao waliowekeza huko wana nini maana target ya kila mtu ni kuachieve good life.
Km vipi wewe ndo unapaswa ukawekeze kwenye huo ufala acha kijana mwenzio awekeze kwenye magari.
Basi weka la mungu wako gwajimaBaba yangu ni marehemu sasa nikuwekee kaburi lake au? Umefirika sana unanekana wewe!
Mambo ka mpenz kake uko poaNgoja wakutandike ban na huku
Ni kweli kabisa Mangi.Hizo ni ndoto zako wewe, na yeye anazo ndoto zake. Elewa mangi
Hayo yote ni kufukuza upepo tu.Tulikuja hatuna kitu na tutaondoka bila kitu.Shetani alimwambia Yesu, "Haya yote nitakupa ukiniabudu."Mwanamuziki namba moja Tanzania na Afrika Mashariki baada ya kushambuliwa sana na mitandao ya kijamii wiki jana na mwanzoni mwa wiki hii ameamua kujipoza na ndinga kali yenye hadhi ya kimataifa.
hahahaha njaa etii Issa Shivji haya mtoto wa Rwekaza mkandalaKumbe ujanielewa,naposema kuwekeza kwenye Elimu sio kujiendeleza Bali ni kufungua shule au chuo cha muziki.
After all sio role model wangu,role model wangu ni Issa Shivji,Jakaya Kikwete na the like.
Utakuwa unasali kwa Gwajima wewe sio bure, yeye anawahubiri hivyo huku yeye akitumia sadaka zenu kununua hammer na chopperHayo yote ni kufukuza upepo tu.Tulikuja hatuna kitu na tutaondoka bila kitu.Shetani alimwambia Yesu, "Haya yote nitakupa ukiniabudu."
Basi weka la mungu wako gwajima
kundwaNkundukuwaka
Sio shabiki wa huyo MTU hapo,Freemason hao
na pengine hata hilo la saba hajamaliza pia na bado anaishi kwa mjombaWabongo wanafiki sana, unarusha dongo kwa mwanaume mwenzio wakati wewe hata baiskeli ya kuazima tu huna.