Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwa background ya jamaa, shule yake na mafanikio anayoyaonesha nadhani ni wachache humu JF wanaoweza kuwa wamempita.
Dogo anajitahidi sana.
Sana tu.
Halafu, licha ya kwamba dogo hana elimu kubwa, huwa namwona ni mtu mwenye upeo mzuri sana.
Jaribu tu kumsikiliza aongeapo hata kwenye mahojiano...jinsi ambavyo huwa anajibu maswali, huwa naona kama angepata fursa ya kusoma elimu ya darasani basi huenda hata huko angefanikiwa.
sipend mirangi[/QUOTE. Ingekua yangu na sina shida yoyote pressing KAMWE NISINGEUZA NYUMBA HII KWA MIL 100!!!value inazidi hapo sana tu.kuna ukarabati kwa mabadiliko mengine kukung'ang'ania na marakwa ya mmiliki mpya
hata mie nimeshangaa, mia kabsa? au kwakuwa wamemchanganyia mirangi kibao? mbona nyumba ya kawaida kabisa hii? bati lenyewe ni haya yakwetu ya kisambaa alafu wakalitia rangi. WELI sawa tu, hongera zake, mimi huwa namkubali jinsi anavyo jituma.Milioni mia mbona havifanani au ndo kulalia
teh teh teh teh duuh.mbona inamarangirangi utafikiria nyumba za wapale.
swissme
Hivi unafahamu hiyo nyumba ipo wapi? Mie naishi Temeke, mwaka jana kuna mzee kakataa kuuza nyumba kwa 300 million na ni ya kawaida sana! Ninapotaja Temeke I hope you know what I mean unless kama sio mkazi wa Dar!Hiyo Nyumba haifiki mil 100,nyumba ya mil 60 eti imekuwa 100?Tena hata 60 sidhani Kama inafika.
Nyumba kama hiyo huwezi kupata kwa 60M Dar es salaam labda iwe ndani ndani kabisa huko!Upo sahihi hiyo nyumba kwa milioni 60 unajenga. Ila hongera zake.. ila naye awe mjanja siku ingine. Nyumba gani ina marangi rangi kama kachumbari?
Mimi ni mzaliwa na mkazi wa Dar, Temeke siyo prime area kwa hapa Dar, na japo nimezaliwa Wiles lakini Temeke siipendi kabisa kama ninavyopachukia kinondoni, sidhani kama ni maeneo salama kulea familia bora.Hivi unafahamu hiyo nyumba ipo wapi? Mie naishi Temeke, mwaka jana kuna mzee kakataa kuuza nyumba kwa 300 million na ni ya kawaida sana! Ninapotaja Temeke I hope you know what I mean unless kama sio mkazi wa Dar!
But all in all, hebu angalia vile vibanda vya NHC... vya Dar es salaam vinauzwa bei gani?
weka picha ya nyumba yako hapa tuionehiyo nyumba haiko na space na kitchen ndogo ya kizamani choo za kishamba zile za sinki lakini unachuchuma wakati wa kukata gogo.kwa kifupi kashikishwa.
swissme
Na kv ni mkazi wa Dar then unafahamu kwa prime area hiyo 300M ni pesa ya kiwanja na sio nyumba!! Na hata nilivyo - conclude kuhusu Temeke ni kuonesha kwamba sio prime area but still mtu anakataa kuuza nyumba kwa 300M let alone 60M.Mimi ni mzaliwa na mkazi wa Dar, Temeke siyo prime area kwa hapa Dar, na japo nimezaliwa Wiles lakini Temeke siipendi kabisa kama ninavyopachukia kinondoni, sidhani kama ni maeneo salama kulea familia bora.
Hebu tuonyeshe kwanza zako tuzioneDah ivi kwanini hua wasanii hawaoni mbali kha! hua siku zote najiuliza suala la showoff maigambo masifa kwanini linachukua nafasi kubwa saana kwa watanzania? tunawapita mpaka waliozoea maisha hayo Wacongo? natamani siku moja nione DIAMOND spring water/DIAMOND appartment to let/DIAMOND unga safi wa ugali/DIAMOND mango juicy/DIAMOND cargo we transport country wide/DIAMOND petrol stations/DIAMOND full furnished appartments country wide/DIAMOND milk/Chocolate/DIAMOND plastic materials/ etc etc na kwa wengine dah mtu anakua amesecure future yake milele hata siku akiamua acha mziki powah tu!
Kula kulala hata maandishi yao utawatambuwa tu, huyo kodi ya nyumba shikamoo tu basi.Hebu tuonyeshe kwanza zako tuzione
hebu tuwekee jumba lako la kifahari tulionehata mie nimeshangaa, mia kabsa? au kwakuwa wamemchanganyia mirangi kibao? mbona nyumba ya kawaida kabisa hii? bati lenyewe ni haya yakwetu ya kisambaa alafu wakalitia rangi. WELI sawa tu, hongera zake, mimi huwa namkubali jinsi anavyo jituma.
Tatizo lako nini sasaHii Nyumba sio mpya, imeshatumika tayari!
Nyumba ndio kila kituafungue macho kwenye fursa zingine za kumwingizia kipato kama biashara, awekeze kwenye vitu ambavyo hata mjukuu atakuja kula na kumkumbuka babu yake.
https://www.jamiiforums.com/threads/diamond-platnumz-anunua-nyumba-mpya.1037950/page-6#post-15950450Tatizo lako nini sasa