Diamond Platnumz anunua nyumba mpya

Wengine nyumba zetu tulimozaliwa na hata tunazoendelea kuishi hazifiki hata nusu ya hiyo nyumba ila tupo hapa tunajishaua tu kumpondea mtandalee hahaaaaa acheni hizo bhana!
 
Nimeona hapo kwa mbali msaidie kiba! Watu wakorofi!
 
I expected him to buy a plot and get a designer, actectual, mason and gardern designer to go do the job. Unanunua vililivyopo kama kwamba upo Europe??? Bado tuna Ardhi na ruhusa ya kujenga mwanangu. Design your own house na acha marangi ya nussery school.
 
Mkuu hizo ndizo Tabia zetu watu tulio maskini, kukosoa vya wenye nazo, masikini tunajua mpaka anachowaza mtu. Hii tayari tunajua Diamomond kakusudia nini.
 
afungue macho kwenye fursa zingine za kumwingizia kipato kama biashara, awekeze kwenye vitu ambavyo hata mjukuu atakuja kula na kumkumbuka babu yake.
Unajua uwekezaji mkubwa na mzuri kiuendeshaji kama real estate? Au unataka awe na kiwanda?
 
Umeionaje ndani hiyo nyumba akati imepigwa picha nje tuuuu! Wabongo bhna yeye anawekeza katika nyumba na nyumba nzuri ya kuishi anayo ambayo wewe huna hizo zingine za ziada tuuu
nenda fb au es.grm

swissme
 
Daah!!! safi sana ni kweli kabisa"kabla ya kupanda kwenye steji huwa unafanya salaa"
 
Huyu bwana ana mkwanja afu hautumii vizuri... Muda umefika sasa kufanya biashara hivi vibanda vinatosha
 

Duh! Wenye vibanda vyetu tumeshadharaulika tayari.
 
Huyu bwana ana mkwanja afu hautumii vizuri... Muda umefika sasa kufanya biashara hivi vibanda vinatosha

Hakuna UTAJIRI mzuri kama kuwa na nyumba Mkuu. Na usione jamaa ni JUHA anavyonunua tu nyumba kwani yawezekana mwenzako ana malengo ya mbali sana. Hakuna msanii anayejua kujipanga na kutuliza AKILI ili kujiletea maendeleo kama " dimonde ".
 
hii nyumba haijafikia 100m pitia page ya insta ya dalali mwanamke aliitangaza kabla diamond hajanunua ni kama 95m.. acheni mchezo wenu wa kuongeza masufuri mbelee
 
Sasa 95m na 100m nini tofauti hapo hujalipa dalali na pesa ya mtaa
 
Hiyo nyumba si ile aliyompangia Naj kipindi kile anamla uroda?? Ipo pale Salasala kama unaenda Green Acres.. Hakuna nyumba ya Million 100 hapo, hicho kibanda nilitaka kukinunua mwaka juzi nikashauriwa nisinunue hapo patavunjwa na ni eneo la viwanda...
 
Nyumba ipo maeneo ya salasala viwandani.. Fensi yake ilivunjwa kupisha bomba la maji... Hakuna nyumba ya million 100 hapo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…