Walitoa kama album tu ya ku promote hiyo movie. Ila kwenye movie yenyewe haipo.
RelaaaaaaaaxNimekuelewa binti. Huna sababu ya kunijibu tena.
KabisaaaaahNiwakumbushe tu
Tz hakuna Watu waongo kuwashinda diamond na jiwe
Mnateseka nyie chawa wao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hv mbona kama nyie haters ndo mnateseka eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] Kimeumana
Waambie hao chawa wa Domokaya.Shavu la ukweli kapewa Davido na burna walau. Bendera ya kenya imeonekana sehem flani kwenye movie. Hata kiswahili sikusikia.
Hata kiba amepata shavu sema ye hapendi show offKiba anasemaje juu ya hili kwani ?
π π π πHata kiba amepata shavu sema ye hapendi show off
Mbona hili shavu sijalisikia π€π€π€π€Wimbo Hallelujah wa Diamond Platnumz wapata shavu kwenye filamu ya Coming 2 America, itakayo achiwa tarehe 5 March 2021.
Source:SnS.