Diamond Platnumz apata shavu kutoka kwenye movie ya Coming 2 America

Diamond Platnumz apata shavu kutoka kwenye movie ya Coming 2 America

Fala Sana we jamaa , halafu utakuwa unalipwa kiduchuu
Lugha kama hzi hazina faida yoyote kwenye maisha yako.

Mm niliuliza swali tu maana naeleawa huyo mwanamuziki ni mtanzania na angepata nafasi pengine milango ingefunguka kwa vijana wetu wengine.

Ajira zenyewe serikali na nchi tumezidiwa. Vijana wakifanya vizuri kwenye filamu na mziki tunapata ahueni.
 
Watu wengi wajuaji achana nao ila nyimbo ipo kwenye album ya io movie inaitwa RHYTHM OF ZAMUNDA kuna nyimbo zaidi ya kumi na kitu sema watu hawafwatilii na hawaelewi
Jambo zuri sana ili kwa wanamziki wetu. Inapendeza. Hope milango itaendelea kufunguka.
 
Lugha kama hzi hazina faida yoyote kwenye maisha yako.

Mm niliuliza swali tu maana naeleawa huyo mwanamuziki ni mtanzania na angepata nafasi pengine milango ingefunguka kwa vijana wetu wengine.

Ajira zenyewe serikali na nchi tumezidiwa. Vijana wakifanya vizuri kwenye filamu na mziki tunapata ahueni.
Hata kama umepewa ajira na huyo jamaa ma story yenu ya kupika na kutia machumvi sijui ndio mnayaita ili kupata kick wengine wetu hatuyapendi embu muwe mnatoa story za maana na zisizokuwa na chumvi la sivyo Mimi mwenyewe nitaendelea kuwapa za uso.
Msiendele kidanganya jamii kiboya boya
 
Mm nafanya kazi yenye mchango kwa watanzania kwa ujumla na sijaajiriwa na msanii, hata hivyo Maneno kama Kiboya boya, nitawapa za uso inaonyesha namna gani mm na ww hatupaswi kuendelea kujadiliana. Nimeingia sehemu isiyo nistahili nachutama.
 
Mm ni mtumishi wa watanzania kwa ujumla na sijaajiriwa na msanii, hata hivyo Maneno kama Kiboya boya, nitawapa za uso inaonyesha namna gani mm na ww hatupaswi kuendelea na huu kujadiliana. Nimeingia sehemu isiyo nistahili nachutama.
Utaendelea kuchutama sana na mapost yako ya kiboya
Yaani uachwe tu udanganye jamii
 
Jana imeangalia hii movie na hamkuwemo wimbo wowote wa Diamond.
Wimbo ulio kuwemo ni wa Davido. Na nikaangalia list ya nyimbo mwishoni mwa movies hakuna mahali Diamond ametajwa.
Msidanganye haukuwemo
🙄 🙄 Aisee!
 
Utaendelea kuchutama sana na mapost yako ya kiboya
Yaani uachwe tu udanganye jamii
Embu fuatilia kama kweli unayemjibu ndo ulidhamiria kumjibu. Inawezekana una haraka sana hivyo unatoa majibu tu. Fuatilia convesation ujiridhishe.
 
Watu wengi wajuaji achana nao ila nyimbo ipo kwenye album ya io movie inaitwa RHYTHM OF ZAMUNDA kuna nyimbo zaidi ya kumi na kitu sema watu hawafwatilii na hawaelewi
Sisi twaongelea movie na kilichoonekana na kusikikia. Hiyo album haijasikika popote pale
 
Ooh, unamfuatilia ndo maana linakuwa suala binafsi, ingekuwa ni suala la mziki wa TZ kufanya vizuri na si suala binafsi usingekuwa na hisia hizo. Ungesikitika TZ kupoteza hiyo nafasi.
Kwenda huko, usinichoshe hapa. Msieeeew
 
Yaani mtu ahuzunike kwa kick za kikumaaa kwasababu tu kaifanya mtz, fala Sana we jamaa , halafu utakuwa unalipwa kiduchuu Sana kwa hizo post zako za kichawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeh umenifurahisha mno.
 
Coming 2 america Muvi ina Album 2 kama soundtrack zake ya kwanza inaitwa Coming 2 America album ambapo "ASSURANCE " Ya Davido imo kama soundtrack na ya pili inaitwa RHYTHIM OF ZAMUNDA ambapo humo ndio utaikuta HALLELUJAH Ya Diamond... cocastic

Kama hapo napo hutaelewa utakua na shida sehemu
Kwenda huko usinichoshe na porojo zako. Hivyoooooooh.
 
Sisi twaongelea movie na kilichoonekana na kusikikia. Hiyo album haijasikika popote pale
Kwani walisema wimbo upo kwenye movie au watazamaji mlikuwa expectations zenu wenyewe?
 
Back
Top Bottom