Diamond Platnumz apata shavu kutoka kwenye movie ya Coming 2 America

Diamond Platnumz apata shavu kutoka kwenye movie ya Coming 2 America

Jana imeangalia hii movie na hamkuwemo wimbo wowote wa Diamond.
Wimbo ulio kuwemo ni wa Davido. Na nikaangalia list ya nyimbo mwishoni mwa movies hakuna mahali Diamond ametajwa.
Msidanganye haukuwemo
Hapo awali ilisemekana allan kingdom rapper mcanada mwenye asili ya Tanzania nyimbo yake itakua mojawapo ya soundtrack za coming to america 2,labda mondi ndio alitaka kutembelea nyota ya jamaa
 
Hapo awali ilisemekana allan kingdom rapper mcanada mwenye asili ya Tanzania nyimbo yake itakua mojawapo ya soundtrack za coming to america 2,labda mondi ndio alitaka kutembelea nyota ya jamaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
king kiba nyimbo yake ya mediocre ipo kwenye fast and furious 9 na hutamsikia akitafuta kiki, hail to the king.
Wala hata hiyo nyimbo yenyewe kwenye iyo movie haisikiki kabisa
 
Skytz kajaribu kuelezea kilichotokea kwenye simulizi za sauti labda muende kule ndo mtaelewa
 
Ta
Vijana hizi chuki za ajabu namna hii mnazitolea wapi?! Ni wapi Diamond alipothibitisha nyimbo zake kutumika kwenye hiyo movie?!
Tatizo ninnyie chawa zake hivi huwa hamumconsult mnapotaka kupost hivi viutumbo utumbo vyenu? Mnamzalilisha tu huyo bwana wenu
 
Back
Top Bottom