Diamond Platnumz apata shavu kutoka kwenye movie ya Coming 2 America

Diamond Platnumz apata shavu kutoka kwenye movie ya Coming 2 America

Woiiiii coming to america 2 imetoka mrejesho wa huo wimbo?misukule bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kiki kila kona
Eb tupe habari, Kwahiyo unamaanisha iyo ngona ya mondi haijapigwa kwenye iyo muvi???
 
Woiiiii coming to america 2 imetoka mrejesho wa huo wimbo?misukule bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kiki kila kona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Haya chawa wa WCB mkuje huku mtupe mrejesho, movie imeshatoka mbona hatujaona?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkome na kilanga na ngeda, pumbavu zenu. Msieeeeew
 
Nmeanglia movie mara mbili sijasikia nyimbo ya mondi
Davido ndo katisha sana na nyimbo yakw assurance
Davido na Burnaboy naona wameplay part kubwa sana.

Yawezekana labda kuna nyimbo nyingi kutoka Afrika zilipendekezwa ikiwemo hiyo Hallelujah ila ndio hivyo Davido na Burnaboy ndio walichaguliwa.
 
Kam ni kwer basi hongera kwake chibu
Wengine wapambane
 
Haya chawa wa WCB mkuje huku mtupe mrejesho, movie imeshatoka mbona hatujaona?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkome na kilanga na ngeda, pumbavu zenu. Msieeeeew
Sio kwamba ulipaswa kuhuzunika kwa huyu kijana mtanzania kutokuwepo humo?
 
Duh
 
Attachments

  • IMG_20210306_184429_786.jpg
    IMG_20210306_184429_786.jpg
    73.8 KB · Views: 1
  • 400138400430_216589.jpg
    400138400430_216589.jpg
    83.6 KB · Views: 2
Hapo ndio utaona faida ya ubunifu wako.

Hapo utakuta wimbo ni wake asilimia 100 ( wimbo, beat ).

Hapa ndio wale wanaotumikishwa na Label wanapaswa kufikiria.

Ingekuwa ni kina Rayvanny, Mbosso au Lavalava ingekuwa bila bila au kiduchu maana siyo wamiliki wa nyimbo zao.

Pfunk alizoa 100M tena baada ya kupigwa panga Kwasababu ya beat lake la Nikusaidiaje.

Sasa Laizer sidhani kama anamiliki beats, zaidi anapewa mshahara tu.
Pia PFunk ataendelea kulipwa miaka yote na Disney
 
Back
Top Bottom