Hahah so wanajitafutia shinikizo la damuKwa kweli tusha zoea, he is making Tz proud, jamani huwezi kumcompare na yoyote kwa sasa hapa bongo, nnacho shukuru ni kuwa akikosa tuzo mbili leo ana pata tano wiki inayo fuata.
*kumchukia diamond ni kujitafutia ugonjwa wa moyo na mshtuko maana kila siku utanuna na kulalamika.
Nyaahahahaaahahaaa maajabu diaomond yupo overated na anguko lake litakuwa kubwa sana eti best male east africa toka lini diamond akawa juu ya eddy kenzo au camilion?
HahahahHahah so wanajitafutia shinikizo la damu
Ni wimbo mzuri sana, naupenda sana. Ila kwa range ya usikilizwaji kwa Africa unastahili? Je kwa hapa Bongo ikishindanishwa na nyimbo nyingine itaweza penya? Je kama tuzo hizi zilikuwa na kwa mfumo wa kupigiwa kura Je ni kweli ulipigiwa kura na nchi zote Africa au hapa zaidi na nchi jirani?In terms of lyrics utanipenda ni song of the year bila ubishi kabisa
Nyimbo ina ujumbe uliotukuka na very emotional
Hahahha mtasubili sana tena sana ile speech aliyopiga pale wenyew wame[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] ndo kwanza anaanza mzikiahahaaa maajabu diaomond yupo overated na anguko lake litakuwa kubwa sana eti best male east africa toka lini diamond akawa juu ya eddy kenzo au camilion?
Mjue kutofautisha mambo ya kiushabiki na kipaji cha mtu...kihalisia Tz tunao wanamziki wazuri sana zaidi ata ya Kiba na Diomond Ila tofauti yao ipo ktk janja ya management, walio ktk game watanielewa zaidi.Believe me Kiba anasafiria nyota ya Diamond na ashukuru media, Kiba angekuwa mtu wa shukrani alitakiwa kile anachokipata amplekee Diamond kiasi.
Walio ktk game wanajua michezo iliyopo huko ila wananchi ni ngumu mkuu.....ahahaaa maajabu diaomond yupo overated na anguko lake litakuwa kubwa sana eti best male east africa toka lini diamond akawa juu ya eddy kenzo au camilion?
Nafikiri kuna kitu hakipo sawasawa hapa. Sina uhakika ni kitu gani hasa ...song of the year Africa? ! Dogo yupo vizuri lakini huko anakoelekea ?? ..... na hizi tuzo from Nigeria ni typical 419.Ni wimbo mzuri sana, naupenda sana. Ila kwa range ya usikilizwaji kwa Africa unastahili? Je kwa hapa Bongo ikishindanishwa na nyimbo nyingine itaweza penya? Je kama tuzo hizi zilikuwa na kwa mfumo wa kupigiwa kura Je ni kweli ulipigiwa kura na nchi zote Africa au hapa zaidi na nchi jirani?
Wewe hujui unachokiongea mwaka jana diamond alikuwa main artist kwenye concert kubwa zaidi uganda born2win concerthebu niwekee link diamond aliofanya show uganda? diamond kenya anajaza watu maana huwa anaenda show za bure sio kwamba watu wanalipia mashow ya promotion hata eddy kenzo angejaza usitufanye wajinga hapa
Weka link ya Eddy Kenzo kwanza akijaza ukumbi bongo, na je zile show za PimbiKiba Kenya sio za bure?hebu niwekee link diamond aliofanya show uganda? diamond kenya anajaza watu maana huwa anaenda show za bure sio kwamba watu wanalipia mashow ya promotion hata eddy kenzo angejaza usitufanye wajinga hapa
Hakuna mtu aliyebisha kuhusu vipaji lukuki tulivyonavyo, Diamond ni mfano wa kuigwa kwa management za wasanii, sio lazima kila msanii asimamiwe na Islam/Babu Tate/ Mkubwa Fela, wasanii wenyewe wanatakiwa kujua wanataka nn kutoka kwa management, wasanii wengi wa Bongo wana vipaji ila wana ile tabia ya kutokuheshimu hata contract walizosaini na management zao, kuwa na kipaji bila kuwa na nidhamu ya kazi ni bure.Mjue kutofautisha mambo ya kiushabiki na kipaji cha mtu...kihalisia Tz tunao wanamziki wazuri sana zaidi ata ya Kiba na Diomond Ila tofauti yao ipo ktk janja ya management, walio ktk game watanielewa zaidi.
Kuhusu show za bure nikweli ata yeye mwenyewe alishasema anacho fanya nikutengeneza jina na soko la kazi yakehebu niwekee link diamond aliofanya show uganda? diamond kenya anajaza watu maana huwa anaenda show za bure sio kwamba watu wanalipia mashow ya promotion hata eddy kenzo angejaza usitufanye wajinga hapa
mimi napenda muziki mzuri sema inafika pahala unamchukia mwanamziki kutokana na mijitimu yao na yeye mwenyewe kujifanya anajua zaidi ya mwingine ndicho alikiba na timj yake inaponichukizaHivi nani huwa anawacompare...ifike muda sikiliza muziki uburudike hayo mengine unajitesa bure!!