Mwakamele 16
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,493
- 1,113
Ali Kiba hajashinda hata kamoja? Au hakushiriki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji23]Tuzo za kununua hizo kama kawaida yao ila huku east africa tunajua kuwa msanii bora wa huku kwetu ni Ali Kiba aka King Kiba
Labda kama unazungumzia kwenu Mombasa uko ndo kila mwezi anapiga show ila kama ni east africa kila alifanya lini shows uganda, rwanda au burundiTuzo za kununua hizo kama kawaida yao ila huku east africa tunajua kuwa msanii bora wa huku kwetu ni Ali Kiba aka King Kiba
Kiba zake ni kiliAli Kiba yeye mbona hatumsikii akibeba tuzo? Au tuzo zake zinaandaliwa akhera atapewa siku ya kiama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakika Diamond ni msanii wa Karne..
N.B
Sina Team
Bujibuji mngese [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ali Kiba yeye mbona hatumsikii akibeba tuzo? Au tuzo zake zinaandaliwa akhera atapewa siku ya kiama?
aisee wewe jamaa[emoji2]Kweli Mondi ni Simba na Kiba ni Swala
yeye tuzo anapewa na kdoti ndo maana wamemkombatisha na turubai!
Natafuta mablauzi ya kitenge kama Yale anayovaaga Mume wa florah Msoffe wa GhanaBujibuji mngese [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hilo anguko toka mmeanza kulisema ndo kwanza anajaza makabati ya awards, endeleeni kusubiriahahaaa maajabu diaomond yupo overated na anguko lake litakuwa kubwa sana eti best male east africa toka lini diamond akawa juu ya eddy kenzo au camilion?
Ali Kiba yeye mbona hatumsikii akibeba tuzo? Au tuzo zake zinaandaliwa akhera atapewa siku ya kiama?