Oluwa ni
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 717
- 445
Ali Kiba yeye mbona hatumsikii akibeba tuzo? Au tuzo zake zinaandaliwa akhera atapewa siku ya kiama?
Ahahah avatar yko na maneno yko vinaendana mzee osiofia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ali Kiba yeye mbona hatumsikii akibeba tuzo? Au tuzo zake zinaandaliwa akhera atapewa siku ya kiama?
ha ha ha ha ha dah watu mna maneno sanaaBelieve me Kiba anasafiria nyota ya Diamond na ashukuru media, Kiba angekuwa mtu wa shukrani alitakiwa kile anachokipata amplekee Diamond kiasi.
Acha siasa dogo, hao mameneja wa Diamond ndio mameneja wa kina Madee, Dogo Janja, Chegge, Temba, Yamoto Band. Je hao wote kwanini hawawi kama Diamond?Mjue kutofautisha mambo ya kiushabiki na kipaji cha mtu...kihalisia Tz tunao wanamziki wazuri sana zaidi ata ya Kiba na Diomond Ila tofauti yao ipo ktk janja ya management, walio ktk game watanielewa zaidi.
Tatizo wabongo hamuelewi kuhusu kura.Ni wimbo mzuri sana, naupenda sana. Ila kwa range ya usikilizwaji kwa Africa unastahili? Je kwa hapa Bongo ikishindanishwa na nyimbo nyingine itaweza penya? Je kama tuzo hizi zilikuwa na kwa mfumo wa kupigiwa kura Je ni kweli ulipigiwa kura na nchi zote Africa au hapa zaidi na nchi jirani?
Hata mwaka jana alichukua hatrick afrima yaan wa nigeria wanamjua diamond tu ndo msanii pekee wa TzTunzo 3 ni hat trick (kwenye soccer) mara ya 3 hii anashinda tunzo tatu kwa pamoja.
*2012 - Kili awards
*2014 - Channel O awards
*2016 - Afrimma Nig Awards
2018 - Diamond ongeza juhudi zaidi Inshallah utapata tunzo 3 nyingine, kupitia hesabu za sequence and series in mathematics.
---Hongera sana Diamond Platnumz
je utanipenda ni mziki mzuri sanaJe utanipenda kiuhalisia ni song of the year ? Nimpongeza kwa kunyakua tuzo hizo
Hizi technic za kuweka vitu kama subtitle kwenye nyimbo za hisia ndo mond anapawpigia wenzake gap yupo makini sanaje utanipenda ni mziki mzuri sana
kwanzia sauti zake
na ujumbe pia
ujumbe kama ule msanii kuufikiria inakua kazi sana..
halafu isitoshe akaweka na substittle kwenye wimbo za kingereza kwahiyo wakasoma wakaona ujumbe.
Avatar kama vikaragosi vya mchawi KarabaAhahah avatar yko na maneno yko vinaendana mzee osiofia
hahaha! diamond akienda Uganda hakuna ukumbi utakaotosha zaidi ya kiwanja cha mpila bi Dadahebu niwekee link diamond aliofanya show uganda? diamond kenya anajaza watu maana huwa anaenda show za bure sio kwamba watu wanalipia mashow ya promotion hata eddy kenzo angejaza usitufanye wajinga hapa
hahaha! diamond akienda Uganda hakuna ukumbi utakaotosha zaidi ya kiwanja cha mpila bi Dada
DIAMOND PLATNUMZ LIVE SHOW IN UGANDA LUGOGO STADI…: