Troojan
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 967
- 675
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ali Kiba yeye mbona hatumsikii akibeba tuzo? Au tuzo zake zinaandaliwa akhera atapewa siku ya kiama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ali Kiba yeye mbona hatumsikii akibeba tuzo? Au tuzo zake zinaandaliwa akhera atapewa siku ya kiama?
Anajipaga Moyo kwa Kusema Yeye ni Mkubwa zaidi ya Tuzo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ali Kiba yeye mbona hatumsikii akibeba tuzo? Au tuzo zake zinaandaliwa akhera atapewa siku ya kiama?
kwa kimakonde: tuzo mzito sana hawezi kubeba n'jomba kibaAli Kiba yeye mbona hatumsikii akibeba tuzo? Au tuzo zake zinaandaliwa akhera atapewa siku ya kiama?
wamemhujumu,kura kashida yeye ila tuzo kapewa mwingine[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ali Kiba yeye mbona hatumsikii akibeba tuzo? Au tuzo zake zinaandaliwa akhera atapewa siku ya kiama?
Amesahau alikiba alishot na tembo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kweli Mondi ni Simba na Kiba ni Swala
kisingizio hiki ni noma aisee.wamemhujumu,kura kashida yeye ila tuzo kapewa mwingine[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] salute kwako mkuu umeimaliza jioni yangu vemaKweli Mondi ni Simba na Kiba ni Swala
I agree dis 1000%Believe me Kiba anasafiria nyota ya Diamond na ashukuru media, Kiba angekuwa mtu wa shukrani alitakiwa kile anachokipata amplekee Diamond kiasi.
Kwani ally kiba naye mwanamziki basi.Ali Kiba yeye mbona hatumsikii akibeba tuzo? Au tuzo zake zinaandaliwa akhera atapewa siku ya kiama?
Kumbe nawewe Member.Ingawa wengine wanasifu uzuri wa sauti na kipaji na hata kudiriki kukudhihaki et anatumia nguvu nyingi kuimba , stl naheshimu sana juhudi zako na nidhamu katka kazi yako ya mziki.. blv m hakuna siri ya mafanikio katika maisha zaidi ya nidhamu ya kazi na juhudi hata kama una uelewa mdogo sana au huna kipaji kikubwa kama wengine ila juhudi na nidhamu humfanya mtu afanye mambo makubwa zaid ya ukubwa wa kipaji na sauti wanayo isifia wengi.. keep it up bro wewe ni fire[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Utakuwa mganda wewe.... Hacha kucompare taka zenu tusizozijuaahahaaa maajabu diaomond yupo overated na anguko lake litakuwa kubwa sana eti best male east africa toka lini diamond akawa juu ya eddy kenzo au camilion?
kwa sababu hawataki kununua siku moja nguvu ya mungu itaishinda ya shetani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwanini wengine hawanunui?!
kwa sababu hawataki kununua siku moja nguvu ya mungu itaishinda ya shetani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwanini wengine hawanunui?!
kwa hiyo Mombasa ipo west Africa? .Labda kama unazungumzia kwenu Mombasa uko ndo kila mwezi anapiga show ila kama ni east africa kila alifanya lini shows uganda, rwanda au burundi
Hahakwa hiyo Mombasa ipo west Africa? .