Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mwaka huu hata Kilimanjaro halambi kitu ajaribu kwenye tuzo za Kiroba jogooKiba zake ni kili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu hata Kilimanjaro halambi kitu ajaribu kwenye tuzo za Kiroba jogooKiba zake ni kili
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] umenichekesha sana..binafsi nawakubali woteKweli Mondi ni Simba na Kiba ni Swala
😀😀😀😀Mwaka huu hata Kilimanjaro halambi kitu ajaribu kwenye tuzo za Kiroba jogoo
Kubali tu hakuna namna MOND MKALI...hebu niwekee link diamond aliofanya show uganda? diamond kenya anajaza watu maana huwa anaenda show za bure sio kwamba watu wanalipia mashow ya promotion hata eddy kenzo angejaza usitufanye wajinga hapa
we jamaa ujipendi jamaa wakisikia unasema ivo akina team k..Kweli Mondi ni Simba na Kiba ni Swala
Alishinda hewaAli Kiba yeye mbona hatumsikii akibeba tuzo? Au tuzo zake zinaandaliwa akhera atapewa siku ya kiama?
Daah unstoppableHat- trick
View attachment 430480
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yoooooooooo
🙄🙄🙄 Prove it.Ivi kila tunzo inauzwa kwa shi ngp nataka kujua maana naona jamaa analazimisha umarufu kupitia biashara mbovu ya kununua tunzo
Duh mkuu ivi kila mara ununue tuzo kweli yan tokea aanze muziki anunue tuzo tuuuIvi kila tunzo inauzwa kwa shi ngp nataka kujua maana naona jamaa analazimisha umarufu kupitia biashara mbovu ya kununua tunzo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwanini wengine hawanunui?!Tuzo za kununua hizo kama kawaida yao ila huku east africa tunajua kuwa msanii bora wa huku kwetu ni Ali Kiba aka King Kiba
Hata mwaka jana alichukua hatrick afrima yaan wa nigeria wanamjua diamond tu ndo msanii pekee wa Tz