Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nani huwa anawacompare...ifike muda sikiliza muziki uburudike hayo mengine unajitesa bure!!Hivi kuna watu bado wanamcompare diamond na ali kiba kimuziki na katika mafanikio ndani ya muziki??au ndo ubishi tu wa asili watu wanao hawataki kukubali kuwa mondi ni noma
ahahaaa maajabu diaomond yupo overated na anguko lake litakuwa kubwa sana eti best male east africa toka lini diamond akawa juu ya eddy kenzo au camilion?Je utanipenda kiuhalisia ni song of the year ? Nimpongeza kwa kunyakua tuzo hizo
[emoji38][emoji38]ahahaaa maajabu diaomond yupo overated na anguko lake litakuwa kubwa sana eti best male east africa toka lini diamond akawa juu ya eddy kenzo au camilion?
Eddy kenzo? Diamond akienda uganda anajaza show huku eddy kenzo akija bongo labda afanye show maisha clabu kuhusu kenya ndo usisemeahahaaa maajabu diaomond yupo overated na anguko lake litakuwa kubwa sana eti best male east africa toka lini diamond akawa juu ya eddy kenzo au camilion?
ahahaaa maajabu diaomond yupo overated na anguko lake litakuwa kubwa sana eti best male east africa toka lini diamond akawa juu ya eddy kenzo au camilion?
Diamond kazindua wimbo wake mpya ni ule wimbo wa Saida Karoli wa Salome kaumix mix.
Mwanasheria wa Saida anapanga kwenda mahakamani. Itakuwa nafasi ya Saida Karoli kurudi kwenye muziki maana atalipwa mamilioni naona. Tusubiri tuone.
Toka leo,endelea kusubiri anguko mamaahahaaa maajabu diaomond yupo overated na anguko lake litakuwa kubwa sana eti best male east africa toka lini diamond akawa juu ya eddy kenzo au camilion?
Mkuu unaugomvi nae? Maana maneno makali sana hata kama ni ushauri duh!!!Ali Kiba yeye mbona hatumsikii akibeba tuzo? Au tuzo zake zinaandaliwa akhera atapewa siku ya kiama?
Yaani hili taifa lina viroja hadi basi! Eti Eddy Kenzo...Eddy kenzo? Diamond akienda uganda anajaza show huku eddy kenzo akija bongo labda afanye show maisha clabu kuhusu kenya ndo usiseme
Kama hutaki kimbia ukatafute huko.ahahaaa maajabu diaomond yupo overated na anguko lake litakuwa kubwa sana eti best male east africa toka lini diamond akawa juu ya eddy kenzo au camilion?
Hahaha duhEddy kenzo? Diamond akienda uganda anajaza show huku eddy kenzo akija bongo labda afanye show maisha clabu kuhusu kenya ndo usiseme
hebu niwekee link diamond aliofanya show uganda? diamond kenya anajaza watu maana huwa anaenda show za bure sio kwamba watu wanalipia mashow ya promotion hata eddy kenzo angejaza usitufanye wajinga hapaEddy kenzo? Diamond akienda uganda anajaza show huku eddy kenzo akija bongo labda afanye show maisha clabu kuhusu kenya ndo usiseme