sr bachelor
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,198
- 798
Hii ndio point ya maana katika hii thread,hakuna mtanzania asiyejizua simba & yanga,huyo ndomo wa juzi tu
simba sio bongo tu mkuu, nenda kwa mamelod sundown na wenzake south, nenda kwa libolo angola, nenda cairo kwa zamaleki, nenda kwa tp mazembe, nenda asec mimosa utawaskia kote huko ...wanataka kusema diamond ndo anatumia umaarufu wa simba au simba ndo wanamtumia diamond