Diamond Platnumz asikitishwa na uzushi wa Simba SC

Hii ndio point ya maana katika hii thread,hakuna mtanzania asiyejizua simba & yanga,huyo ndomo wa juzi tu

simba sio bongo tu mkuu, nenda kwa mamelod sundown na wenzake south, nenda kwa libolo angola, nenda cairo kwa zamaleki, nenda kwa tp mazembe, nenda asec mimosa utawaskia kote huko ...wanataka kusema diamond ndo anatumia umaarufu wa simba au simba ndo wanamtumia diamond
 
Kutangulia si Kufika na aliye juu msubiri chini! Chezea Diamond Weye!! Team wema.
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo unataka kuniambia ipo siku ndomo atazizidi simba & yanga umaarufu?u must've hang over
 
Last edited by a moderator:
simba sio bongo tu mkuu, nenda kwa mamelod sundown na wenzake south, nenda kwa libolo angola, nenda cairo kwa zamaleki, nenda kwa tp mazembe, nenda asec mimosa utawaskia kote huko ...wanataka kusema diamond ndo anatumia umaarufu wa simba au simba ndo wanamtumia diamond

Diamond mwenyewe ni shabiki wa yanga wa kutupwa
 
Back
Top Bottom