Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,771
Ali Kiba atasubiri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tarehe 25 jana siku ya xmas diamond alikuwa na show ya funga mwaka pale Darlive watu,
watu walijitokeza kwa wingi sana kiasi kwamba hakuna pa kutema mate, ukinyanyua mguu hakuna pa kuweka na bado wengine waliokuwa nje walishindwa kuingia
Imefika wakati sasa huyu jamaa show zake zipangwe kwenye viwanja vikubwa kama uwanja wa taifa au ule wa uhuru la si sivyo siku itakuja kutokea maafa makubwa kwa
watu kukosa hewa
kukanyagana na misongamano
mamlaka husika wanaweza kuchukua taadhari mapema kabla janga halijatokea na kuanza kusingizia freemason
jionee picha mwenyewe kilichojiri jana
Watu hawanaga kazi za kufanya au? Nyau nyie...
mbona wanasifia balaaa.....????Kiba kaboa jana najuta kupoteza muda wangu kwenda pale. Tumeishia kuonyeshwa ex wa Diamond band yake full kuboa
ali kiba ana potential nzuri tu ya kufanya vizuri ila jamaa namuona kama vile anajihold kurudi nyumasijui kwanini...... mond saiv ni mkali kama umeme huwezi kumlinganisha na kiba kuna tofauti kubwa sana na wanaowalinganisha hua nawashangaa sana siongei kwa ushabiki bali ukweli ninao uonaHaya tunasubiri na huyu kibakuli wao alete nyomi kama ana ubavu
Ahahahahaaaa... Yale maji ambayo huwa yanajaa Jangwani, Tegeta, Sinza, pale Afrikana, kule Goba, pale Massana, Kinondoni nako ni Mbagala..???Tatizo mbagara kila kitu mafuriko, daradara etc
Sio mafuriko hayo mkuuAhahahahaaaa... Yale maji ambayo huwa yanajaa Jangwani, Tegeta, Sinza, pale Afrikana, kule Goba, pale Massana, Kinondoni nako ni Mbagala..???
hivi ulishawahi kujiuliza kwa nini Dar Live ilijengwa Mbagala na si Oysterbay??....Hapo dawa ni kuongeza bei ya viingilio ili kudhibiti idadi ya watu.
ANGALIZO: Kwa kiingilio cha chini ya 50000 msitarajie msongamano kwisha kwenye show zake.
Huo wivu..!Watu hawanaga kazi za kufanya au? Nyau nyie...
Tarehe 25 jana siku ya Christmas, Diamond alikuwa na show ya funga mwaka pale Darlive watu,watu walijitokeza kwa wingi sana kiasi kwamba hakuna pa kutema mate, ukinyanyua mguu hakuna pa kuweka na bado wengine waliokuwa nje walishindwa kuingia.
Imefika wakati sasa huyu jamaa show zake zipangwe kwenye viwanja vikubwa kama uwanja wa Taifa au ule wa Uhuru la si sivyo siku itakuja kutokea maafa makubwa kwa watu kukosa hewa,kukanyagana na misongamano.
Mamlaka husika wanaweza kuchukua taadhari mapema kabla janga halijatokea na kuanza kusingizia freemason
jionee picha mwenyewe kilichojiri jana.
Ebu nikusahihishe wasanii wetu hawa kodo wanalipa?Kodi analipa?