Hio unataka useme tu ila kimsingi kama umeuzizwa na haujasamehe maana yake umebeba uchungu..huo uchungu hukufanya uumize wengine aitha kwa kujua(makusudi) au kwa kutokujua...ni hivyo tuu principle ni kusamehe kuna kufanya uwe relieved..Hiyo siyo kanuni mpaka useme kuwa aliyeumizwa naye ni lazima atakuja kuumiza wengine.
Kuna wengi tu waliowahi kuumizwa na hawakusamehe lakini pia hawakuumiza wengine.
Kwa hiyo hakuna kanuni hapo.
Vitu ka hivi huwa karoho inafatlia kizazi na kizazi hata wanaokubwa na mambo flani flani uki chunguza lazima yalishawatokea waliotanguliaIshu ni kuwa wameanza kumchanganya mtoto kwenye mambo yao haya mambo mimi ndio ninaona siyo, wakaache katoto kazuri kakue kwa amani
Hio unataka useme tu ila kimsingi kama umeuzizwa na haujasamehe maana yake umebeba uchungu..huo uchungu hukufanya uumize wengine aitha kwa kujua(makusudi) au kwa kutokujua...ni hivyo tuu principle ni kusamehe kuna kufanya uwe relieved..