Diamond Platnumz : Atakapobugi na kujutia maisha yake yote

Diamond Platnumz : Atakapobugi na kujutia maisha yake yote

'kapigwa mtungo mara kibao'....

ukiambiwa thibitisha kauli hiyo unaweza thibitisha?
 
Hiyo siyo kanuni mpaka useme kuwa aliyeumizwa naye ni lazima atakuja kuumiza wengine.

Kuna wengi tu waliowahi kuumizwa na hawakusamehe lakini pia hawakuumiza wengine.

Kwa hiyo hakuna kanuni hapo.
Hio unataka useme tu ila kimsingi kama umeuzizwa na haujasamehe maana yake umebeba uchungu..huo uchungu hukufanya uumize wengine aitha kwa kujua(makusudi) au kwa kutokujua...ni hivyo tuu principle ni kusamehe kuna kufanya uwe relieved..
 
Ishu ni kuwa wameanza kumchanganya mtoto kwenye mambo yao haya mambo mimi ndio ninaona siyo, wakaache katoto kazuri kakue kwa amani
Vitu ka hivi huwa karoho inafatlia kizazi na kizazi hata wanaokubwa na mambo flani flani uki chunguza lazima yalishawatokea waliotangulia
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hio unataka useme tu ila kimsingi kama umeuzizwa na haujasamehe maana yake umebeba uchungu..huo uchungu hukufanya uumize wengine aitha kwa kujua(makusudi) au kwa kutokujua...ni hivyo tuu principle ni kusamehe kuna kufanya uwe relieved..

Wewe naona unachofanya hapa ni assumption tu kwamba kama usipofanya hivi basi kitakachotokea ni kile.

Unachanganya assupmtion na principle. Ambavyo ni vitu viwili tofauti kabisa.

Una uhakika gani kila aliyewahi kuumizwa na ambaye hakusamehe naye alikuja kuumiza wengine?

Na ina maana kila anayenuumiza mwingine basi ni lazima naye aliwahi kuumizwa huko nyuma?

Kwa hiyo mtu ambaye hajawahi kuumizwa hawezi kuumiza wengine?

Unalazimisha hoja tu hapo kwa sababu hakuna kanuni ya kufuatwa inayosema ukifanyiwa hivi basi nawe fanya hivi ili usije baadaye ukafanya vile kwa wale!
 
Back
Top Bottom